othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Lisu ni mvunka vikwazo, kesho pia atakushangaza tu we TAGAKihunzi namba 1kakivuka, na kuwekw muda mrefu hapo kumchosha kiakili asipate muda wa maandalizi ya keho mahakamani. Lisu anatafutiwa njia ya kukwamishwa, imeshapangwa nayo ni mahakamani. Ndio kihunzi no. 2. Kukivuka kinaanza kesho.
Utafanya na RAIA wa Burundi nae awekewe kikwazoMbona wewe ni Interahamwe hatusemi??...
Safi Sana Tindo,umempa jibu stahiki kabisa, chama Cha CCM kimekua chama Cha kijambazi.Mwanaume kabisa unayesimamisha vizuri unaweza kujisifia mgombea wako kupita bila kupingwa! Bonge la aibu, ni sawa na Yanga au Simba ijisifie kuanza na pointi 15 za bure bila kucheza, kisha ijisifie ina kikosi kikali.
Tangu waanze huu uhuni wao wa kutafuta sababu za kuwaengua wagombea hawajawahi hata mara moja kumuengua mgombea wa maccm.
Mmeanza Ujinga, kwa hiyo na Magufuli tumwite Rais wa Chato? Mmebana mmeachia pumbavu
Yaani nawachukia sana hawa wasimamiziccm waache wananchi tuchague tumtakaye sio kutuletea mizigo yao wanafanya kampeni wenyewe for 5yrs kinachowaogopesha ni nini?
Wanaujua ukweli Uchaguzi ukiwa huru na wa haki huyo anayejiita JIWE haoni ndani tena utakuwa ni ushindi wa Tsunami kwa Lissu.
Najua inauma, tulia hivo hivo, mwanaume anafanye yakeTuliza mshindo mporipori wewe uone dume la mbegu litavyounguruma mpaka 2025.
kwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.
embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only)..
Kwahiyo hapo ndio mmeshashinda?kwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.
embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only).
hata kwenye kampeni, hii trend am sure itaendelezwa, which itampa Lissu a better chance to win the ballots (of course, kutangazwa mshindi hiyo ni habari nyingine tofauti).
kuchamba kwingi......
View attachment 1548118
View attachment 1548119
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....Kwahiyo hapo ndio mmeshashinda?
Jamani hivi chadema mbona huwa mnazuzuka na mambo madogo sana?...
Subiri oktoba,Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....
subira yavuta kheri... si kutekana wala kumiminiana risasi!Subiri oktoba,
Nmefurahi sana NEC kumuacha huyu mtu ili oktoba tumfundishe adabu kwamba nchi hii haiendeshwi kwa matakwa ya kina amsterdam
Hana uwezo wa kufanya labda kama anafanywa au kufanyishwa.Najua inauma, tulia hivo hivo, mwanaume anafanye yake
Huu uchaguzi haufanyikii jf humu, subiri uone wapiga kura watakapowashangaza nyie shwaini machagademakwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.
embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only)...
Akili zao machadema wanadhani hao mabeberi wa ulaya ndio watakuja kupiga kura, na janja yao yote imeshagundulika, wanadhani wataanzisha fujo halafu wafanikiwe, never, tutawashughulikia mpaka watashangaa shenz taipu!!Kwahiyo hapo ndio mmeshashinda?
Jamani hivi chadema mbona huwa mnazuzuka na mambo madogo sana?...
Hahahaaaa yaan mm huwa nacheka SanaMeko lazima adondoke kwa pressure akiwa jukwaani.
Yaani huu mtinange si wa kitoto.
Hivi sisi kama Watanzania hatuwezi kusuka mpango tukawashughulikia hawa jamaa? Mnamkamata mtu kama Lipumba mnamfanya kitu mbaya!Shibuda na Lipumba wamepewa Dola laki nne advance wamuwekee pingamizi