Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kihunzi namba 1kakivuka, na kuwekw muda mrefu hapo kumchosha kiakili asipate muda wa maandalizi ya keho mahakamani. Lisu anatafutiwa njia ya kukwamishwa, imeshapangwa nayo ni mahakamani. Ndio kihunzi no. 2. Kukivuka kinaanza kesho.
Lisu ni mvunka vikwazo, kesho pia atakushangaza tu we TAGA
 
Mwanaume kabisa unayesimamisha vizuri unaweza kujisifia mgombea wako kupita bila kupingwa! Bonge la aibu, ni sawa na Yanga au Simba ijisifie kuanza na pointi 15 za bure bila kucheza, kisha ijisifie ina kikosi kikali.
Safi Sana Tindo,umempa jibu stahiki kabisa, chama Cha CCM kimekua chama Cha kijambazi.
 
Yaani nawachukia sana hawa wasimamiziccm waache wananchi tuchague tumtakaye sio kutuletea mizigo yao wanafanya kampeni wenyewe for 5yrs kinachowaogopesha ni nini?
Tangu waanze huu uhuni wao wa kutafuta sababu za kuwaengua wagombea hawajawahi hata mara moja kumuengua mgombea wa maccm.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wanaujua ukweli Uchaguzi ukiwa huru na wa haki huyo anayejiita JIWE haoni ndani tena utakuwa ni ushindi wa Tsunami kwa Lissu.

Yaani nawachukia sana hawa wasimamiziccm waache wananchi tuchague tumtakaye sio kutuletea mizigo yao wanafanya kampeni wenyewe for 5yrs kinachowaogopesha ni nini?
 
kwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.

embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only).

hata kwenye kampeni, hii trend am sure itaendelezwa, which itampa Lissu a better chance to win the ballots (of course, kutangazwa mshindi hiyo ni habari nyingine tofauti).

kuchamba kwingi......

20200825_220547.jpg

20200825_220436.jpg
 
kwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.

embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only)..

Jiwe wapi na wapi likawa na mvuto
 
kwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.

embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only).

hata kwenye kampeni, hii trend am sure itaendelezwa, which itampa Lissu a better chance to win the ballots (of course, kutangazwa mshindi hiyo ni habari nyingine tofauti).

kuchamba kwingi......

View attachment 1548118

View attachment 1548119
Kwahiyo hapo ndio mmeshashinda?

Jamani hivi chadema mbona huwa mnazuzuka na mambo madogo sana?

Kuna mwingine baada ya Lisu kuhojiwa hardtalk akaja na uongo eti Lisu akapata wafuasi milion 80 wakati kwenye twitter yake tu mpaka leo ana followers 70k

Mwingin akaokota basi mtandaoni huko na kulipamba kwa bendera za chadema na kusema hilo basi Lisu kazawadiwa huko ubelgiji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Chadema ni hopeless
 
Subiri oktoba,
Nmefurahi sana NEC kumuacha huyu mtu ili oktoba tumfundishe adabu kwamba nchi hii haiendeshwi kwa matakwa ya kina amsterdam
subira yavuta kheri... si kutekana wala kumiminiana risasi!
 
kwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.

embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only)...
Huu uchaguzi haufanyikii jf humu, subiri uone wapiga kura watakapowashangaza nyie shwaini machagadema
 
Kwahiyo hapo ndio mmeshashinda?

Jamani hivi chadema mbona huwa mnazuzuka na mambo madogo sana?...
Akili zao machadema wanadhani hao mabeberi wa ulaya ndio watakuja kupiga kura, na janja yao yote imeshagundulika, wanadhani wataanzisha fujo halafu wafanikiwe, never, tutawashughulikia mpaka watashangaa shenz taipu!!
 
Meko lazima adondoke kwa pressure akiwa jukwaani.

Yaani huu mtinange si wa kitoto.
Hahahaaaa yaan mm huwa nacheka Sana
Kweli huyo tundu ndio was kumtetemesha magu???? Acheni kuchekesha dunia
Angejua angeunga juhudi tu
 
Shibuda na Lipumba wamepewa Dola laki nne advance wamuwekee pingamizi
Hivi sisi kama Watanzania hatuwezi kusuka mpango tukawashughulikia hawa jamaa? Mnamkamata mtu kama Lipumba mnamfanya kitu mbaya!
 
Back
Top Bottom