Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Lissu asisubiri mpaka mwisho, wanatakiwa walazimishe sasa hivi kuingia humo ndani bora hilo zoezi livurugike, akikubali kusubiri mpaka mwisho atazuiwa kurudisha au huyo mpokeaji anaweza kuondoka ofisini kwa mlango wa nyuma akisindikizwa na polisi wao waache hapo. Lissu anatakiwa kulazimisha kuingia humo ndani sasa hivi.
Baadae wanasema hatukujua kama yupo.
 
NAANGALIA HAPA MTANGAZAJI ANASEMA ZOEZI LINAELEKEA HATUA ZA MWISHO MWISHO[emoji23][emoji23]

nipo na mtu hapa amekosa nguvu..

Dunia hii..ptuuu

Kwa hiyo hadi mzee wetu Rungwe wamemchomoa?
 
NEC watakuwa wamepata maelekezo wamuweke pending Lissu kwanza,ili Membe aanze ateuliwe kwanza, wameepusha Lissu kuanza kuteuliwa maana pengine wamenusa kuwa Lissu akitangulia Membe hatofika.
Aidha wanafuata utaratibu kama walivyochukua. Wa kwanza kuchukua ndiyo wa kwanza kurudisha. So JPM,Shibuda, Lipumba nk walitangulia kuchukua.
 
Back
Top Bottom