Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Wengine wamejaza wadhamini wachache kazi rahisi kuhakiki Lisu kaweka wadhamini maelfu Tume kumaliza kuhakiki itachukua muda .Yeye ndie kasababisha hiyo shida.Wenzie walijaza tu idadi minimum inayotakiwa na Tume Ili uhakiki uwe rahisi na ichukue muda mfupi yeye kajaza wadhamini dunia!!
 
Ukisikia kuchomeshwa mahindi ndio kama hivi yaani[emoji2][emoji2],mjiandae kisaikolojia..kuna mtu anachinjiwa baharini leo.
 
Vipi huko njedengwa?
Kashateuliwa? Tuanze kunywa bia !
 
Bahati mbaya ni vigumu mno kwa tusio hapo NEC kuujua ukweli,kila mtu atachukua kile anachopenda kukisikia tu.

Tuseme wamefika hapo nje ya muda wao! Je watausema huo ukweli?
 
NEC wakileta ushenzi wao PATABONYEA!
Ninaangalia kituo cha Taifa cha luninga cha TBC hapa wakionyesha mubashara, matangazo hayo.

Hata hivyo nimeshangazwa kwa kuona wagombea wa chama cha CUF wakiingia kwenye chumba cha kurejesha fomu, wakati wenzao wa Chadema, ambao kwenye ratiba walikuwa wamewatangulia wakiendelea kusubiria kwenye "Holding Room" ambapo haijulikani wataingia saa ngapi!

Hii Tume isifanye masihara na amani ya nchi hii, wanapaswa watekeleze majukumu yao wakiwa huru na wasikubali hata kidogo kupokea maagizo toka juu!
Dalili ya mvua ni mawingu. Hata mimi nimeshangaa.Lissu wakimkata basi itakuwa intelligence ya Magufuli imegundua Lissu atashinda hata iweje. Hivyo dawa ni kumkata tu.
Yule jamaa hajali. Na hataruhusiwa kuingia. Mark my words.
Wanasubiri maagizo kutoka juu! nawao hawajui wafanye nini hii ndiyo afrika bwana walio juu ndiyo wenye akili
Muwe mnauvumilivu sio mnaharaka kama mnaharisha.
acha wamkate tutakutana nao mitaani personal
Akiingia Lissu matangazo yatakatwa kwa muda!!

Maagizo toka juu!!
Tujitayarishe kufuindishana adabu kwa nguvu ya umma.
UOVU wa magufuli na wahuni na majizi ya tumeccm lazima utendwe wengine wakiwa wameshaondoka. Hawataki wa vyama vingine vya upinzani wawepo. Lissu kafika tangu 11:45am hadi saa hizi 2:13pm bado anasubiri tu 😳😳😳😳
Ni UHUNI tu!
 
Zipo dalili zote kuwa Tundu Lissu na Hashim Rungwe wanaenda kuenguliwa.
 
Ninaangalia kituo cha Taifa cha luninga cha TBC hapa wakionyesha mubashara, matangazo hayo.

Hata hivyo nimeshangazwa kwa kuona wagombea wa chama cha CUF wakiingia kwenye chumba cha kurejesha fomu, wakati wenzao wa Chadema, ambao kwenye ratiba walikuwa wamewatangulia wakiendelea kusubiria kwenye "Holding Room" ambapo haijulikani wataingia saa ngapi!

Hii Tume isifanye masihara na amani ya nchi hii, wanapaswa watekeleze majukumu yao wakiwa huru na wasikubali hata kidogo kupokea maagizo toka juu!
Nadhani wanataka kumpototeza muda asiende mahakamani
 
NAANGALIA HAPA MTANGAZAJI ANASEMA ZOEZI LINAELEKEA HATUA ZA MWISHO MWISHO[emoji23][emoji23]

nipo na mtu hapa amekosa nguvu..

Dunia hii..ptuuu

Kwa hiyo hadi mzee wetu Rungwe wamemchomoa?
 
Back
Top Bottom