Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nakubaliana na kauli yakoYule jamaa hajali. Na hataruhusiwa kuingia. Mark my words.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na kauli yakoYule jamaa hajali. Na hataruhusiwa kuingia. Mark my words.
mapambano yatakua ni kimya kimya mkuuKama atakatwa kweli nitategemea kukuona mbele kabisaaaa ya mapambano 😂😂😂
😂😂😂😂 Nyie ndo mtalinda ushindi wa Lissu??mapambano yatakua ni kimya kimya mkuu
Hahahaaaa..... Jamaa anataka aendelee kujenga Jamhuri ya watu wa chato kibabe.......Lisu lazima akatwe maana anazuia ujenzi wa nchi ndogo ya Chato
Ninaangalia kituo cha Taifa cha luninga cha TBC hapa wakionyesha mubashara, matangazo hayo.
Hata hivyo nimeshangazwa kwa kuona wagombea wa chama cha CUF wakiingia kwenye chumba cha kurejesha fomu, wakati wenzao wa Chadema, ambao kwenye ratiba walikuwa wamewatangulia wakiendelea kusubiria kwenye "Holding Room" ambapo haijulikani wataingia saa ngapi!
Hii Tume isifanye masihara na amani ya nchi hii, wanapaswa watekeleze majukumu yao wakiwa huru na wasikubali hata kidogo kupokea maagizo toka juu!
Dalili ya mvua ni mawingu. Hata mimi nimeshangaa.Lissu wakimkata basi itakuwa intelligence ya Magufuli imegundua Lissu atashinda hata iweje. Hivyo dawa ni kumkata tu.
Yule jamaa hajali. Na hataruhusiwa kuingia. Mark my words.
Wanasubiri maagizo kutoka juu! nawao hawajui wafanye nini hii ndiyo afrika bwana walio juu ndiyo wenye akili
Muwe mnauvumilivu sio mnaharaka kama mnaharisha.
acha wamkate tutakutana nao mitaani personal
Akiingia Lissu matangazo yatakatwa kwa muda!!
Maagizo toka juu!!
Tujitayarishe kufuindishana adabu kwa nguvu ya umma.
UOVU wa magufuli na wahuni na majizi ya tumeccm lazima utendwe wengine wakiwa wameshaondoka. Hawataki wa vyama vingine vya upinzani wawepo. Lissu kafika tangu 11:45am hadi saa hizi 2:13pm bado anasubiri tu 😳😳😳😳
Ni UHUNI tu!
😁😁kweli jf kuna vilaza jaman
Nadhani wanataka kumpototeza muda asiende mahakamaniNinaangalia kituo cha Taifa cha luninga cha TBC hapa wakionyesha mubashara, matangazo hayo.
Hata hivyo nimeshangazwa kwa kuona wagombea wa chama cha CUF wakiingia kwenye chumba cha kurejesha fomu, wakati wenzao wa Chadema, ambao kwenye ratiba walikuwa wamewatangulia wakiendelea kusubiria kwenye "Holding Room" ambapo haijulikani wataingia saa ngapi!
Hii Tume isifanye masihara na amani ya nchi hii, wanapaswa watekeleze majukumu yao wakiwa huru na wasikubali hata kidogo kupokea maagizo toka juu!
NEC wakileta ushenzi wao PATABONYEA!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]watakua wako njiani kuja kumsaidia.Kwani Amsterdam & Co. wanasemaje hadi muda huu?
Zipo dalili zote kuwa Tundu Lissu na Hashim Rungwe wanaenda kuenguliwa.