Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
Deep thinking...!!!
 
Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuhairisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
Kwa nini mnateseka?
mtu mwenyewe ni unfit!
Hata kura milioni moja akizipata ni bahati!
Tangu lini Tanzania ikaongozwa na mropokaji!
 
Ratiba inansema Chadema walitikiwa saa ngapi boss
.
FB_IMG_1598357997741.jpeg
 
Kwa mujibu wa Ratiba ya tume iliyotoka ni wazi Wameanza wale wote walioteuliwa akiogoza Magufuli baada ya hapo watafuata ambao tume haikuwateuwa kwa sababu mbali mbali.

TUsubiri tuone ni nani hasa ambao hawakuteuliwa.
Stay tuned
 
Back
Top Bottom