Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Haiwezekani! Kama walikwishaamua hivyo, kwa nini wakamweka saa 6 mchana? Kwa nini wasingemweka mwishoni?
 
Hamna lolote! Lisu atakatwa na Mlivuo waoga chadema, mtaishia kulialia mitandaoni tu.
CCM ndiyo waoga wa ushindani kutwa wanabuni mbinu za kuwahujumu kuwadhoofisha chadema
 
Ccm ni waoga mbona
Nec wamevuruga utaratibu au kuna jingine la dharura si wangesema tujue hiyo dharura.
Tuambieni tu sababu ya kuvuruga ratiba ili hii hofu iondoke na huwe na amani
 
Back
Top Bottom