Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kinachomtetemesha ni nini?M.kiti wa tume anatetemeka.... + hofu
Vimebaki vyama 8
Sasa hivi saa 15.17
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachomtetemesha ni nini?M.kiti wa tume anatetemeka.... + hofu
Vimebaki vyama 8
Sasa hivi saa 15.17
CCM ndiyo waoga wa ushindani kutwa wanabuni mbinu za kuwahujumu kuwadhoofisha chademaHamna lolote! Lisu atakatwa na Mlivuo waoga chadema, mtaishia kulialia mitandaoni tu.
sorry you meant “....so happy” instead of ..,, for you is unusualHuyo jamaa wanamkata aisee so sad.
Kwa Tanzania chochote kinawezekanaHaiwezekani! Kama walikwishaamua hivyo, kwa nini wakamweka saa 6 mchana? Kwa nini wasingemweka mwishoni?
Acha wananchi tuamue usitupangie mkuuKwa nini mnateseka?
mtu mwenyewe ni unfit!
Hata kura milioni moja akizipata ni bahati!
Tangu lini Tanzania ikaongozwa na mropokaji!
Aachwe sasaKwa nini mnateseka?
mtu mwenyewe ni unfit!
Hata kura milioni moja akizipata ni bahati!
Tangu lini Tanzania ikaongozwa na mropokaji!
Bado Membe anaweza akawa anazunguka na kuwaambia wananchi wampe kura zake LisuWatampitisha ila baada ya wagombea wote then hakuna mgombea kujitoa hapo watakuwa wameumaliza muungano wa ACT na CHADEMA.
Hujuma Hujuma Hujuma Tumeccm NECCCMHii nchi haita tawalika kwa uhuni huu, inaenda 15:30 sasa
Huyo jamaa wanamkata aisee so sad.