Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Sawa sawa, wenzake walikagua fomu jana. Wao wakaenda leo kukagua na kuwakilisha. Saa nyingine hata kama ni mashabiki wa Chadema tuwe tuna reason vyema. Tujiulize kwanini hawakupeleka fomu jana? Hivi leo zikiwa na shida kuna muda wa marekebisho? Tusiwe wa kulaumu tuu. Nasi tukubali muda mwingine kubeba lawama.. Hili ni kosa limefanywa na chama full stop.
Kukagua kukagua unakagua viroboto Mungu nae akiamua kukukagua kila eneo ai wote tutaishia motoni acheni ushamba
 
Sawa sawa, wenzake walikagua fomu jana. Wao wakaenda leo kukagua na kuwakilisha. Saa nyingine hata kama ni mashabiki wa Chadema tuwe tuna reason vyema. Tujiulize kwanini hawakupeleka fomu jana? Hivi leo zikiwa na shida kuna muda wa marekebisho? Tusiwe wa kulaumu tuu. Nasi tukubali muda mwingine kubeba lawama.. Hili ni kosa limefanywa na chama full stop.
Wewew vipi mkuu siku ya kurudisha fomu ni leo na uteuzi unafanyika leo kama hujui si uulize wanaoelewa?
 
Hivi ninyi machizi kweli. Tundu anafanya upumbavu halaf akatwe mseme kuhatarisha amani ya nchi. Amepangiwa saa 6 kachelewa kufika mlitaka nini?
Lissu alifika saa tano na dakika arobaini na tano.
 
Nipo nje ya Uchaguzi House na jiwe langu mkononi, ukinikanyaga tu!!
 
Kwa maelezo waliyosema vyama ambavyo bado ni CCK na NRA ...kila la kheri
 
Kesharudisha, una jingine.?
Chadema kazi Kwao walifikiri Membe atajitoa hatarudisha fomu amwachie Lisu Kama Membe karudisha fomu poa Lisu apambane na hali yake Zanzibar Hana chake hapati mbunge Wala mjumbe baraza la wawakilishi Wala kura,kura zote Zanzibar chadema out
 
Kwa nini unasema kuwa ''amewaza mbali''? Hata kama wakirudisha wote bado kuna chances za wengine kumuunga mkono wakati wa kampeni. Au watakuwa wanavunja sheria wakimpigia kampeni?
Sijui nikujibu nini?
Sababu mimi sikuwaza kabisa hili alilowaza huyu mdau, hivyo nimeona ametumia akili sana kufikia mawazo ya kusema alicho andika.

Kama lengo kweli ni hilo au siyo hilo siwezi kuthibitisha au kuliunga mkono au kulisemea lolote au kulipinga.
 
Mwenzake kasharudisha yeye hadi saa sita anasubiri nini ?

Uzembe tu, wacha wafunge ofisi
Mwenzake nani?? Kuna ratiba iliyopangwa kwa kila mgombea na muda wake. Vinginevyo ingekua ni mgongano na vurugu.
 
Back
Top Bottom