Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kitendo cha Tundu lisu kucheleweshwa kuapishwa kimeleta sintofahamu kwa watu wengi sana hapa nchini na nje ya nchi.

Mimi binafsi toka saa 8 mchana nimeshindwa fanya lolote. Presha ilikuwa inapanda inashuka. Hasira nayo inapanda inashuka. Kila muda naangalia kama yajaa kaapishwa wapi.

Nimefatilia live coverage hadi TBC wanarudi studio bila Tundu lisu kutokea. Hapo ndyo main yakaanza kukata. Ningekuwa mwanamke mjamzito hakika mimba ingetoka.

Hivi sasa amani imerudi baada ya kushuhudia akitangazwa na tume ya Uchaguzi kuwa kateuliwa. Leo ningekuwa mlevi lazima ningekesha napombeka.

Vipi wewe ulikuwa katika hali gani?
 
Hajapeleka kavizia last minute akidhani tume wajinga kuwa kazi Yao kupokea tu si kuhakiki anadhani tume Ni masjala
Watu wa aina yako ndio mnafanya CHADEMA ionekane ina watu wenye akili kubwa.

Mgombea wao hao CHADEMA kawasili Tume tangu saa 7 mchana kama ambavyo imewekwa kwenye Ratiba.

Wewe upo humu unasema eti Mgombea wa CHADEMA amefika muda wa mwisho mwisho. Yani umeshindwa hata kufanya homework ya kujua ukweli wa hayo unayohubiri humu!?

Unawapa maksi za bure CHADEMA kwa ukilaza wako huo.
 
Si ndio nyie mliokua mnamlaumu

Wanaposema tume ipo huru mbona huwa mnatokwa mapovu
Nyie na nani? Mimi sina upande ila najaribu kukuelewesha. Huwezi sema mtu fulani hana ushamba huo wakati mwenye mamlaka ni tume. Kwanini umuhusishe magu?
 
Wasimamizi wa Uchaguzi ma DED wajifunze kwa Mwenyekiti wa Tume jaji mstaafu S. Kaijage na Mkurugenzi wa uchaguzi zoezi hili walivyolisimamia na changamoto kupatiwa ufumbuzi badala ya kukwamisha wagombea huko majimboni.
 
Hakuna chombo cha habari chochote kunachoonyesha. Kweli Lissu anaogopwa. Na kuwekwa mwishoni ni strategy kabisa ili tusione. ***** Magufuli atazuia yote ili hawezi zuia jambo moja tu,"kifo chake mwenyewe "

All national news outlets zinajiandaa na “taarifa ya habari “ kama ilivyo ada!

Let’s not take everything personal for our own sake!

“Le bien n'est jamais le mal!”
 
" muujiza" ndio jina la Lissu , maana mtesi wake akimuona anaumia roho sana, na sasa Mtesi hajui la kufanya, Mungu wa Israeli analeta ukombozi muda kidogo tu, tuendelee kuwa na subira
 
Nasikia MaCCM yanaruka na kukanyagana, hayaamini upepo ulivobadilika. Magufuli alidhan angepita bila kupingwa. Sasa ajipange.

#twende na Lissu2020.
CCM wenyewe hawamtaki huyu muuaji, mtekaji, wa ndugu zetu. Usibabaishwe na hawa watetezi wanaoshinda humu JF. Hawa wa humu JF ni vijana wasio na ajira but wamepewa ajira isiyo rasmi Lumumba.
 
1598374759388.png


Mmelowa kwenye mvua?
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom