Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Mmefurukata weee mwisho wa siku tumewabaninisha kwenye kona ya kitanda.
Quote me; chochote kinachofanyika Tanzania, kinafanyika kwa mapenzi ya Serikali na vyombo vyake. Tena ni baada ya kujiridhisha ya kwamba HAKUNA madhara. Lissu kugombea kama ilivyokuwa kwa Lowassa, tayari Serikali imeishajiridhisha HAKUNA madhara. Tukutane baada ya Oktoba 28!
 
Kiingereza cha nini wewe Lissu au unawataarifu mabwana wale waliokutuma ukarudi mbiombio?
na bado Jiwe litasaga unga mpaka lichoke maana tutaliongezea muda wa kutawala.
Ulitaka aongee kisukuma nini hii ni nchi huru hujakatazwa hata kikorea wee ongea tu ahjussi mkubwa weee
 
Quote me; chochote kinachofanyika Tanzania, kinafanyika kwa mapenzi ya Serikali na vyombo vyake. Tena ni baada ya kujiridhisha ya kwamba HAKUNA madhara. Lissu kugombea kama ilivyokuwa kwa Lowassa, tayari Serikali imeishajiridhisha HAKUNA madhara. Tukutane baada ya Oktoba 28!
Mataga mmepanic Lissu is a pain in ur a...s 🤣
 
Tangu waanze huu uhuni wao wa kutafuta sababu za kuwaengua wagombea hawajawahi hata mara moja kumuengua mgombea wa maccm.

Yaani hawa wasimamizi wa uchaguzi wanakera sana haiwezekani upinzani tu ndio nakosea kujaza fomu huu uhuni sijui unawasaidia nn?
 
Kiingereza cha nini wewe Lissu au unawataarifu mabwana wale waliokutuma ukarudi mbiombio?
na bado Jiwe litasaga unga mpaka lichoke maana tutaliongezea muda wa kutawala.

Rudi shule mataga acha kuteseka, muda unao.
 
Miiko ya Maadili!
Mimi nachoomba mheshimiwa Lissu anyoe nywele zake zifananane na utamaduni wa nchi yetu! The way alivyonyoa haimpi status kimaadili kama anaweza kuwa Rais wa nchi yetu!
 
Tangu waanze huu uhuni wao wa kutafuta sababu za kuwaengua wagombea hawajawahi hata mara moja kumuengua mgombea wa maccm.

Inavyosemwaa...
Walikuwa wanasubiri usiku ufike waweze kumteka na kumpokonya hizo fomu.
Subirini
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom