lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nawashauri CCM achaneni sasa na njama za kumtoa Lissu kwenye Nafasi ya kugombea urais kwani njama zenu zote anazipangua, jikiteni kwenye kampeni. Hasara ya njama zenu ni kubwa sana kuliko kushindwa nae kwenye majukwaa.
Hasara kubwa ni kwamba mnamfanyia kampeni kubwa sana bila nyie kujua, kwa mfano leo mlichokua mnataka kumfanyia kimewagharimu vibaya Sana. Kwa taarifa yenu nchi ilisimama, watu walisimamisha shughuli zao ili kujua kama kakatwa au hajakatwa. Watu wameilaani tume kuliko kuliko wanavyomlaani shetani, watu wlijiandaa kwa liwalo na liwe.
Baada ya kupitishwa huku mitaani ni furaha kwa kwenda mbele. Watu waliopa kutokupiga kura wamebadili gia angani, Sasa watapiga kura na kura zao zote kwa Lissu. Achaneni na Lipumba na Shibuda, waambieni warudishe hela zenu, warudishe tu hata walizobakiza katika biashara hasara si ajabu.