Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Nawashauri CCM achaneni sasa na njama za kumtoa Lissu kwenye Nafasi ya kugombea urais kwani njama zenu zote anazipangua, jikiteni kwenye kampeni. Hasara ya njama zenu ni kubwa sana kuliko kushindwa nae kwenye majukwaa.

Hasara kubwa ni kwamba mnamfanyia kampeni kubwa sana bila nyie kujua, kwa mfano leo mlichokua mnataka kumfanyia kimewagharimu vibaya Sana. Kwa taarifa yenu nchi ilisimama, watu walisimamisha shughuli zao ili kujua kama kakatwa au hajakatwa. Watu wameilaani tume kuliko kuliko wanavyomlaani shetani, watu wlijiandaa kwa liwalo na liwe.

Baada ya kupitishwa huku mitaani ni furaha kwa kwenda mbele. Watu waliopa kutokupiga kura wamebadili gia angani, Sasa watapiga kura na kura zao zote kwa Lissu. Achaneni na Lipumba na Shibuda, waambieni warudishe hela zenu, warudishe tu hata walizobakiza katika biashara hasara si ajabu.
 
WABUNGE WA CCM WALIOPITA BILA KUPINGWA UBUNGE

1. Hamis Taletale (Babu Tale) (Morogoro Mashariki)
2. Alexander Mnyeti (Misungwi)
3. Prof. Palamagamba Kabudi (Kilosa)
4. Abdulaaziz Abood (Morogoro)
5. Japhet Hasunga (Vwawa)
6. Shanif Mansoor (Sumve. Mwanza)
7. Ahmed Shabiby (Gairo, Morogoro)
8. Kassim Majaliwa (Ruangwa, Lindi)
9. Jonas Vanzland - (Mvomero, Morogoro)
10. Innocent Kalogeris (Morogoro Kusini)
11. Joseph Kamonga (Ludewa)
12. Elias Kwandikwa - (Ushetu, Simiyu )
13. Nape Nnauye - Mtama, Lindi
14 . Job Ndugai (Kongwa)
15. Anthony Mavunde (Dodoma Mjini)
16. Deo Ndejembi (Chamwino, Dodoma)
17. Dkt. Ashatu Kijaji (Kondoa vijijini)
18. Vita Kawawa (Namtumbo)
19. George Malima (Mpwapwa)
20. Geofrey Mizengo Pinda ( Kavuu )
21😛hilipo mlugo (songwe)
22:jumanne sagini(butiama)
 
Nawashauri CCM achaneni sasa na njama za kumtoa Lissu kwenye Nafasi ya kugombea urais kwani njama zenu zote anazipangua, jikiteni kwenye kampeni. Hasara ya njama zenu ni kubwa sana kuliko kushindwa nae kwenye majukwaa.

Hasara kubwa ni kwamba mnamfanyia kampeni kubwa sana bila nyie kujua, kwa mfano leo mlichokua mnataka kumfanyia kimewagharimu vibaya Sana. Kwa taarifa yenu nchi ilisimama, watu walisimamisha shughuli zao ili kujua kama kakatwa au hajakatwa. Watu wameilaani tume kuliko kuliko wanavyomlaani shetani, watu wlijiandaa kwa liwalo na liwe.

Baada ya kupitishwa huku mitaani ni furaha kwa kwenda mbele. Watu waliopa kutokupiga kura wamebadili gia angani, Sasa watapiga kura na kura zao zote kwa Lissu. Achaneni na Lipumba na Shibuda, waambieni warudishe hela zenu, warudishe tu hata walizobakiza katika biashara hasara si ajabu.
Nani ahangaike na Lissu yaani ndani ya masaa machache keshapoteza majimbo 23
 
Ha ha ha hakuna wa kupindua nchi hii kwa sababu ya chizi ha ha ha ha, JPM mitano tenaaa! nipe Gwaraa!!
Kwani Umeambiwa ni Lazima wapindue kwa ajili ya Lissu? Fikiri mara 2

Ukitaka Kujua tu panya buku wenu watu wamemchoka katazame uzi wake wa kuteuliwa na Linganisha na Lissu...jiongeze fala
 
Huu ushindi mkubwa sana.....

Naandaa Rap ya nguvu inaitwa "tumeibiwa kura... tunagomea matokeo"....
kwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.

embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only).

hata kwenye kampeni, hii trend am sure itaendelezwa, which itampa Lissu a better chance to win the ballots (of course, kutangazwa mshindi hiyo ni habari nyingine tofauti).

kuchamba kwingi......

View attachment 1548118


View attachment 1548119
 
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania

Updates
----
Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form

UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!

UPDATE:- 9:40
Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli hakumali nusu saa kwenye Tume na fomu zake zimepokelewa, akateuliwa na kuondoka. Sisi wengine fomu zetu zinakaguliwa tangu saa sita mchana kwa utaratibu gani wa Sheria ya Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge? Upendeleo huu wa nini?
10:13
Kwa ajili ya kusimamia utaratibu wa kisheria, fomu za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA mhe. Tundu Lissu hazikupita kwa Wasimamizi wa Majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya zoezi la uhakiki. Zoezi la uhakiki ndio linaloendelea kwa sasa.
UPDATE:- 1:00 Usiku

I'm the only candidate who toured the country, met with actual voters and got their endorsement in person. All other candidates obtained their nominators from NEC registers without having to meet actual voters. Yet I'm the only candidate whose nomination is still under a cloud! - LISSU

1:03 Usiku - NEC
Mgombea mwenza wa CHADEMA, Bw. Salumu Mwalimu akishuhudia zoezi la uhakiki wa fomu za uteuzi za chama hicho. Zoezi hilo linaendelea Ofisi za Tume, Njedengwa, Jijini Dodoma.

UPDATE: 1:40 - LISSU APITISHWA
Katibu wa tume ya uchaguzi amesema wagombea wa Rais na Naibu Rais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) wametimiza sifa na masharti ya uteuzi.

Baada ya tamko la katibu, Mwenyekiti amesema tume ya Taifa ya uchaguzi baada ya kujiridhisha kuwa kiti cha Rais na Makamu wa Rais waliopendekezwa na CHADEMA wametimiza masharti tume imewateua ndugu Lissu, Antipas kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ndugu Mwalimu, Salum kuwa mgombea wa makamu wa kiti cha Urais wa Tanzania.

View attachment 1548033
Tunamshukuru Mungu kwa Mema aliyotutendea.
 
Akili zao machadema wanadhani hao mabeberi wa ulaya ndio watakuja kupiga kura, na janja yao yote imeshagundulika, wanadhani wataanzisha fujo halafu wafanikiwe, never, tutawashughulikia mpaka watashangaa shenz taipu!!
Hahaha hatimae kapitishwa tena....amkeni amkeni amepitishwa tena.

Usalama, mapolisi, maharamia wote leo walikuwa dodoma ili asipitishwe. Usicheze na Mungu wewe.

Lisu alivyopitishwa hivyo hivyo ndivyo atatangazwa october.
 
Kwa niliyoona leo katika Habari za tv zote ninawashauri sana Chadema mjipange kihabari ila pia muwe na Media House yenu. Na kampeni zinaanza kama hamjajipanga kihabari mmekwisha. CCM tuko kidedea kwa hilo.
 
Tume imempa heshima sana TAL kwa kumuweka mwishoni maana kiprotacal Rais huwa wa mwisho kwenye hafla yoyote ile kwa tume bila kunua imempa heshima kubwa sana sana TL maana nchi nzima walibaki wanafuatilia uteizi wa lisu habari ya uteizi WA wengine ulisahaulika kabisa.
 
Kila siku mnasema hivyo hivyo siku zinasonga Lissu anazidi kuchanja mbuga
Kumbe anachanja mbuga!! mi nilidhani anachanga hela akatibiwe ugonjwa wake wa upungufu wa akili!! ha ha ha ha machagadema mmeingizwa choo cha kike na mwakilishi wa mabeberu!! ha ha ha
 
kwa kweli hii NEC ya MATAGA imempa Tundu Lissu promo kubwa sana bila kujua wala kupenda.

embu angalia jinsi wapiga kura walivyoperuzi kwenye uzi wa uteuzi wa Tundu Lissu (91 JF pages) vs wale walioperuzi kwenye uzi unaomhusu JPM (7 JF pages only)...
Kitendo cha kumuweka tu kwenye ratiba kuwa wa mwisho ni kumpa heshima kubwa sana maana Rais ndio huwa wa mwisho kwenye hafla zote kwa hiyo tumpe imempa heshima kubwa sana TL bila kujua maana watu wote walibaki kufutilia uteuzi wake wakasahau wateuliwa wote kama wameteuliwa
 
Back
Top Bottom