Kibinadamu ipo hali nyingine yaweza kukutia woga au kukufikirisha kulingana na muonekano utakao uona. Mfano, unaingia chumba cha upasuaji kufanyiwa operesheni lakini unamuona daktari akikupiga jicho la chuki kabisa unaweza kugoma kuendelea na zoezi hilo.
Matendo yanayofanywa na watumishi wa Tume (NEC) kwa vyama vya upinzani yanaleta wasiwasi sana juu ya hali ya uchaguzi huu ujao. Lakini ukiliona jicho hili LA Kamishna wa Tume kwa mgombea huyu wa Urais unapata mashaka makubwa kuwa jee kuna nini kati yao? Chuki?
View attachment 1548222