Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Hivi sisi kama Watanzania hatuwezi kusuka mpango tukawashughulikia hawa jamaa? Mnamkamata mtu kama Lipumba mnamfanya kitu mbaya!
Hiyo ni njia mojawapo nzuri kwani itakomesha kujipatia pesa toka CCM kwa kisingizio cha kuua upinzani, kwa miaka kadhaa sasa Lipumba kala pesa nyingi za CCM kwa mujibu wa polepole.
 
Mama yangu marehemu. Na wewe wako atakufa hata siku moja. Shetani sehemu yake ni jehanamu. Roho ya kishetani kabisa. Unafurahia udhalimu kwa binadamu wenzio wakati na wewe una nyama na damu. Nimeripoti matusi yako kwa meoderator.
Itakuwa unamzungumzia mama yako hapa, sio?
 
Kibinadamu ipo hali nyingine yaweza kukutia woga au kukufikirisha kulingana na muonekano utakao uona. Mfano, unaingia chumba cha upasuaji kufanyiwa operesheni lakini unamuona daktari akikupiga jicho la chuki kabisa unaweza kugoma kuendelea na zoezi hilo.

Matendo yanayofanywa na watumishi wa Tume (NEC) kwa vyama vya upinzani yanaleta wasiwasi sana juu ya hali ya uchaguzi huu ujao. Lakini ukiliona jicho hili LA Kamishna wa Tume kwa mgombea huyu wa Urais unapata mashaka makubwa kuwa jee kuna nini kati yao? Chuki?View attachment 1548222
Sura yake ndivyo ilivyo.

Niulize, hivi kazi ya makamishina ni ipi?
 
Ubongo wako una kamasi
Kumbe anachanja mbuga!! mi nilidhani anachanga hela akatibiwe ugonjwa wake wa upungufu wa akili!! ha ha ha ha machagadema mmeingizwa choo cha kike na mwakilishi wa mabeberu!! ha ha ha
 
Hahahaaaa yaan mm huwa nacheka Sana
Kweli huyo tundu ndio was kumtetemesha magu???? Acheni kuchekesha dunia
Angejua angeunga juhudi tu
Atakayemtetemesha Magu si Lisu tu, bali ni wananchi wenye machungu.
 
Kibinadamu ipo hali nyingine yaweza kukutia woga au kukufikirisha kulingana na muonekano utakao uona. Mfano, unaingia chumba cha upasuaji kufanyiwa operesheni lakini unamuona daktari akikupiga jicho la chuki kabisa unaweza kugoma kuendelea na zoezi hilo.

Matendo yanayofanywa na watumishi wa Tume (NEC) kwa vyama vya upinzani yanaleta wasiwasi sana juu ya hali ya uchaguzi huu ujao. Lakini ukiliona jicho hili LA Kamishna wa Tume kwa mgombea huyu wa Urais unapata mashaka makubwa kuwa jee kuna nini kati yao? Chuki?View attachment 1548222
Limefura mpaka linataka kufa kwa pressure! Hapo lilipo halipumui shenzi kabisa!
 
Back
Top Bottom