Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

Critics wa Ronaldo , walipenda sana kutumia hii excuse kuponda mafanikio yake. Hasa alipochukua ufungaji bora.
Saizi ukimsema Messi kwa ishu hiyo hiyo unaitwa hater
 
Washabiki wa mpira tunawahukumu hawa wawili kwa mafanikio yao kwenye kazi yao. Hayo mengine ni maisha binafsi sana ambayo hayawezi kutumika katika kuwalinganisha kwenye pitch.

Mfano huwezi kuwalinganisha Pele na Maradona uwanjani na ukatumia kigezo cha Maradona alikuwa "teja".
 
Pele is the only player in the world to have won three World Cup titles... Pele, popularly known as 'The King', is widely considered one of the greatest footballers of all time.

Youngest player to play and win the World Cup​

Pele is the youngest player to play and win the World Cup. At the age of 17 years and 249 days, Pele helped Brazil win the World Cup in 1958 at the Rasunda Stadium in Solna, Sweden. Brazil defeated the hosts 5-2 to win their first-ever World Cup trophy where Pele scored a brace.

Joint - Highest international goalscorer for Brazil​

Pele is the all-time highest goalscorer for Brazil in international football. In 92 official matches recognised by FIFA, the legendary forward scored 77 goals. The record has remained untouched for five decades until Neymar equaled it ila hizo ni record za FIFA Brazil wana record tofauti ambapo amefunga magoli zaidi...

Youngest Goalscorer in World Cup​

Youngest player to Score Hat Trick in World Cup
92 Hat-tricks



There is only one King... and that is The King.... Pele
 
Hapo kwenye dini umepuyanga
 
Tofautisha mfungaji Bora na mchezaji Bora , Mbape mnampa kichwa tuu kama wale madogo wa England na Brazil , avunje Kwanza ukuta wa Morocco Leo ndo tuanze kumuwazia , ni kumkosea heshima Messi kumlinganisha na uchafu wa mbape
Mwaka huu mpaka sasa katika French League wachezaji watatu Bora mpaka sasa ni kina nani ?
 
We jamaa unaongelea past,most of us hatukuepo kipindi Cha Pele . Now tunamuona mchezaji Bora before our eyes, NOW. Messi tunamuona NOW kwenye hiki kizazi chetu mnashindwa kumu enjoy NOW Kwa kuletea story za Pele,kweli? Messi mpira upo kichwani brother,he is 35 lakini anacheza kama mara ya kwanza nilipomuona. Ronaldo anajituma na alikua fit,now hayupo fiti ndio maana kiwango kimepungua ila Messi mpira upo kichwani mwake,mwili wake ni kama means tu lakini mpura wote anaucheza kichwani.

Nashkuru nipo kwenye wakati huu the GOAT yupo,ipo kizazi kitakuja kumuongelea huyu mtu kama wewe unavomuongelea Pele. Messi sio mchezaji wa kumuongelea anacheza vp,ni mchezaji wa kumuangalia anavocheza na kuenjoy soka lake. Nikimuangalia Messi hua na enjoy bila hata ya kufunga au kUfanya assist. Messi is just Messi Hana description.
 
Mi naona kama vile FIFA, Adidas wanalazimisha kitu kiende watakavyo wao.

Ila France atawashangaza
 
By the way hata tukujia kwa Portugal kuna huyu Mchawi ambaye Ronaldo hajavunja rekodi yake....The Great Eusebio (Most Goals in World Cup by Portuguese Player)

Sisemi kwamba Eusebio ni bora kuliko huyu dogo..., hapana bali the Black Panther had his moments na kuna parts of his game ambazo zilikuwa better...

Sio rahisi kwa a boy from Msumbiji kuwa na Statue kule Portugal....
 
Mnakuza mno huyo Pele ili kumdunisha Messi..
 


Pele alifunga magoli mengi ya offside
 
Sijaelewa kipindi hicho nyekundu ilianza ndio ikafuata njano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…