Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

Ukumbi wa Diamond jubilee ulikuwa moto sana enzi hizo uzinduzi wa albums za wasanii na shows zilikuwa zinafanyika pale
 
Umesahau tezi dume.
Unatesa sana kwa sasa
Ukiwa na pupa ukaipeleka tezi dume hosp ya private ujue operation inakuhusu. Peleka hiyo Muhimbili kwa wataalam usikimbilie operation.
Ukifanyiwa operation ujue kabla miaka miwili haijafika jogoo haamki na hata sikia Cha Nazi au karanga, mihogo hata Viagra.
Kama huamini muulize mzee wa busara "google'
 
Me nakumbuka nilikuwa natoka Boko Naenda disco ( club) bilicanas enzi hizo kiingilio ilikuwa sh 3000 Cha kushangaza nilikuwa nakutana na watu wengi ninaowafahamu!
 
Enzi zile nimefika Moshi vijijini huko nikapata demu mzuri kweli kweli, nikatupa ndoano akaimeza pamoja na chambo.
Tukaingia sehemu tulivu tufanye yetu.
Ile naanza kuvaa kondom Dada wa kichaga akagoma huku akisema. Unataka kuniingiza makaratasi aisee sikubali.
Kila nilivyojieleza maelezo yangu yaligonga mwamba.
 
Mshana Jr hebu njoo uone watani zetu walivyo washamba
 
Jiwe la fatuma, aiseeee, sitasahau
 



kwenye mdundiko
umesahau kuwaambia kuwa Mdundiko ni ngoma maalum ya kuburudisha safarini ili washereheshaji wasione wanapokwens ambali wanawez ahata wakafika chalinze..

ila mdundiko ukifika unapotakiwa kwenda basi goma kubwa linafukiwa nusu chini unawashwa
moto wa kuwambia ngoma.. ndoo ya pombe ya kienyeji pemben pamoja na chupa
za gongo kwa wapigaji..

hapo rasmi mdundiko unakuwa umefika tamati jina linabadilika .. linaamshwa goma
linaitwa VANGA.... hadi asubuh hiyo

mafundi wa ngoma wanapiga goma kubwa linatoa mdundo utasema
limefungwa kwenye speaker za watts 100k...
kumbe kitu manual mode... mpigaji kashapiga kiglass "niagieni" a.k.a kachaso..

mbele yake bidada ana shanga zaid ya mia kiunon analimwaga uno kila mdundo wa ngoma na wala
hana haja ya kuvua nguo kubaki uchi.. we unafikiri kuna kuzimwa kwa ngoma hapo?
 

mafundi wa ngoma wanapiga goma kubwa linatoa mdundo utasema
limefungwa kwenye speaker za watts 100k...
kumbe kitu manual mode... mpigaji kashapiga kiglass "niagieni" a.k.a kachaso..

mbele yake bidada ana shanga zaid ya mia kiunon analimwaga uno kila mdundo wa ngoma na wala
hana haja ya kuvua nguo kubaki uchi.. we unafikiri kuna kuzimwa kwa ngoma hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…