Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

Dar/ Kampala via Nairobi.View attachment 1989700
Enzi hizo nasoma Olevel Nakuru Kenya, Alevel Kampala international, Chuo Uganda Christian University-Mukono, what ana amazing 27-29 hours dar-kampala, dsm -Nakuru, ukikosa Scandinavia ukipanda zile za wasomali kampala to nairobi wezi kama wote, hifazi mzigo kwenye buti lasivo upakate mzigo.khaa haya maisha. Banzukulu watanielewa, Dembe FM full vituko. My life in Nakuru what an amazing Kenya was, Thank you a lovely flashback in the making.
 
Nimewahi fika Mukono Christian Un Kwa wiki moja tulikuwa na semina pale.2008. Pazuri nilitaka pia kusomea Masters pale nikakwama Ada Yao sio ya kitoto sikuwa na sponsor nikaishia kusoma OUT. Nakumbuka pale Nje vibanda vya mama ntilie chakula Chao kikuu matoke na chapati maharage.
 
Bujibuji Simba Nyanaume kule Mbeya enzi hiyo majambazi walikuwa wanawaandikia barua kabisa kuwa wiki au siku fulani tunakuja kufanya tukio hatutaki resistance, milango acheni wazi...

Enzi zile za Jombi anasumbua sana mjini...
 
Peogeut 404 hiyo
π‘΄π’ƒπ’†π’šπ’‚ π’Œπ’˜π’†π’•π’– π’Œπ’–π’π’† π‘°π’”π’‚π’π’ˆπ’‚,π’‚π’π’Šπ’Œπ’–π’˜π’†π’‘π’ π’Žπ’‚π’Žπ’‚ π’Žπ’Žπ’π’‹π’‚ π’‚π’Œπ’Šπ’‹π’–π’π’Šπ’Œπ’‚π’π’‚ π‘΄π’ƒπ’†π’šπ’‚ π’π’›π’Šπ’Žπ’‚ π’Œπ’˜π’‚ π’‹π’Šπ’π’‚ 𝒍𝒂 𝑴𝑨𝑴𝑨 𝑱𝑢𝑯𝑡, 𝑴𝒓𝒔 π‘΄π’˜π’‚π’Œπ’Šπ’‘π’–π’π’…π’‚) π’‚π’π’Šπ’Œπ’–π’˜π’‚ 𝒏𝒂𝒍𝒐 𝒍𝒂 π’“π’‚π’π’ˆπ’Š π’π’šπ’†π’–π’”π’Šπ’Šπ’Šπ’Š! π‘―π’Šπ’šπ’ π’Šπ’π’Šπ’Œπ’–π’˜π’‚ π’Žπ’Šπ’‚π’Œπ’‚ π’šπ’‚ 70 π’‰π’–π’Œπ’!
 
Chenyanja chibisi ne kaunga, dont forget to put kamulali.
 
Chenyanja chibisi ne kaunga, dont forget to put kamulali.
Siku moja tulikuwa tunaenda Kampala kutembea ikaja hiece kumbe wenzetu abiria hawasimami wabongo tukachoma ndani kama MTU 7 nafasi ziko 2 walitushangaa konda hajui kimombo anatuongelesha cha kwao tukaona isewe tabu tukashuka wenyeji wakatusanua tuliona aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…