Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

Peogeut 404 station wagon!!!
Tulikuwa na Headmistress kila akitusimanga anasema tunakimbilia DT.
Biafra baa zilikuwa kila mkoa wakati Mwalimu alikuwa anampiga tafu Ojoku wa Biafra, Nigeria. Hata kanisani tulikusanya nguo za kupeleka huko.
 
Kamanyola...ndekule...paselepa...Bayankata...Vangavanga...Masantula...

CC Bujibuji
 
Enzi zetu hizo ndonga ikisimama imesimaa, kuipooza mpaka ujigonge mshipa wa juu ya kisigino, sio vijana wa siku hizi mpaka watumie hendeli kukiwasha, na hata ikisimama inakuwa legelege hata bikra zinawashinda kutoa
Kuvaa boksa ni dalili ya kukosa USHUPAVU🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bila kusahau kumbi za sinema kama Empire,Empress, Drive Inn,New Chox,Star Light,Odeon,Cameo.Kipindi hicho tunamuangalia Angela Mao,Churck Norris,James Bond,Bruce Lee halafu jumatatu tunakwenda kuhadithiana Shuleni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wengine kipindi hicho tumeshaanza kulipa kodi ya serikali. Payee shs 520./month kodi shs 10. Balance 510 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 life was so paratable.
 
Tunaishi kulingana na vipindi tunavyovikuta so easy bog bro
 
Bila kusahau kumbi za sinema kama Empire,Empress, Drive Inn,New Chox,Star Light,Odeon,Cameo.Kipindi hicho tunamuangalia Angela Mao,Churck Norris,James Bond,Bruce Lee halafu jumatatu tunakwenda kuhadithiana Shuleni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Cybog..solo

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom