MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hivi Bujibuji Simba Nyanaume unazikumbuka Superdip ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peogeut 404 station wagon!!!
Tulikuwa na Headmistress kila akitusimanga anasema tunakimbilia DT.
Biafra baa zilikuwa kila mkoa wakati Mwalimu alikuwa anampiga tafu Ojoku wa Biafra, Nigeria. Hata kanisani tulikusanya nguo za kupeleka huko.
Wapi Wapi Chang'ombe BarMaggot disco
Kuvaa boksa ni dalili ya kukosa USHUPAVU🤣🤣🤣🤣🤣Enzi zetu hizo ndonga ikisimama imesimaa, kuipooza mpaka ujigonge mshipa wa juu ya kisigino, sio vijana wa siku hizi mpaka watumie hendeli kukiwasha, na hata ikisimama inakuwa legelege hata bikra zinawashinda kutoa
Wengine kipindi hicho tumeshaanza kulipa kodi ya serikali. Payee shs 520./month kodi shs 10. Balance 510 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 life was so paratable.Bila kusahau kumbi za sinema kama Empire,Empress, Drive Inn,New Chox,Star Light,Odeon,Cameo.Kipindi hicho tunamuangalia Angela Mao,Churck Norris,James Bond,Bruce Lee halafu jumatatu tunakwenda kuhadithiana Shuleni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisa, mwingine ni Rungwe oceanic, pale disco la kufa mtu. MzeeHashimu Rungwe. From no where eti ni gaidiDisco kwa MBOWE huyuhuyu anaesumbuliwa na kima wa vijijini eti ni gaidi.
Shikamoo Kaka mkubwa...Wengine kipindi hicho tumeshaanza kulipa kodi ya serikali. Payee shs 520./month kodi shs 10. Balance 510 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 life was so paratable.
Kweli kabisa, mwingine ni Rungwe oceanic, pale disco la kufa mtu. MzeeHashimu Rungwe. From no where eti ni gaidi
Mambo ya kuvaa nguo ya ndani ilikuwa ni show off tu siku mrembo akija kugegeda,ndio maana tulikuwa tunaazimana, kikawaida tulikuwa tunatembea chukuchukuKuvaa boksa ni dalili ya kukosa USHUPAVU🤣🤣🤣🤣🤣
HahahaMambo ya kuvaa nguo ya ndani ilikuwa ni show off tu siku mrembo akija kugegeda,ndio maana tulikuwa tunaazimana, kikawaida tulikuwa tunatembea chukuchuku
Unakuja kushtuka chupi ipo tumboniIlikua chupi unakuta nzima kabisa mara ghafla unaweza kuhisi pumbu ziko wazi kumbe kauzi keshakatika
Asante sana Mkuu kwa picha hii.Inanikumbusha mbali sana.
Korie zimekuja kumaliza nguvu za kiume.
Kweli kabisa, mwingine ni Rungwe oceanic, pale disco la kufa mtu. MzeeHashimu Rungwe. From no where eti ni gaidi
Cybog..soloBila kusahau kumbi za sinema kama Empire,Empress, Drive Inn,New Chox,Star Light,Odeon,Cameo.Kipindi hicho tunamuangalia Angela Mao,Churck Norris,James Bond,Bruce Lee halafu jumatatu tunakwenda kuhadithiana Shuleni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]