Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Ilikuwepo Avalon pia.Bila kusahau kumbi za sinema kama Empire,Empress, Drive Inn,New Chox,Star Light,Odeon,Cameo.Kipindi hicho tunamuangalia Angela Mao,Churck Norris,James Bond,Bruce Lee halafu jumatatu tunakwenda kuhadithiana Shuleni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikuwa napenda kula kababu kwa Mhindi,nje kidogo ya ukumbi wa Avalon, kisha ndo nazama kuangalia sinema.
Kuna siku Mzee Mohammed Said alileta uzi kuhusu kumbi hizo akanikonga moyo sana.