#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Hivi Mkuu kwa Nini tuogope wakati Baba Askofu Gwajima ana uwezo wa kutufufua tukifa kwa Corona??!!!!!! Mkuu Mimi siwaelewi watu uoga wa Nini? Nakuunga mkono Mkuu Chanjo hazina maana, tukifa kwa Corona Baba Askofu apewe tu taarifa aje kutufufua.
Kashindwa kumfufua mteuzi wake itakuwa wewe jirani yake?
 
Kutokana na huyu virus anavyobadilika kila wakati lazima trial itaendelea mpaka kupata ile inayo weza cover mutation zote,so hakuna sababu ya kusubili why tusijikinge kuzuia mutation maana ubishi wa kutojikinga ndo utasababisha mamutation ya huyu virus kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine so trial itaendelea ila Sio kwamba chanjo iliyopo kwa Sasa Sio effective

Pili dunia hii ikiwemo tanzania hakuna kipya ,unaposema AUTISM SPECTRUM DISORDER(ASD) ni moja ya mental illness( psychiatric) ni matatizo ambayo Sio kwamba yanapatikana nje tunayo pia ,na je nayo yameletwa na chanjo ya corona, nenda psychiatric unit , kubwa utaambiwa ,tusipende challenge vitu ambavyo vipo juu ya fikra zetu tunafanya upotoshaji katika jamii
 
Uaskofu aliupata toka kwa nani? These stupid burgers self-proclaimed Bishops must be ignored in their entirety
Hao watu wamejaa sana hapa nchini na duniani kiasi kwamba kuna baadhi ya wananchi wanawaamini kabisa na wanajitolea kuwachangia sadaka kila siku wakati ni matapeli tu.
 
Ukichaguliwa kupitia wizi wa kura huna haja ya kumia akili kazi ni moja kuropoka tu.
 
Israel nchi ambayo anaihusudu hawana lockdowns baada ya raia wake wote kuchanjwa
 
Hivi tunaenda lini Birmingham?
 
Shida kubwa sana ikiwa mtu anakuwa anaongea kwwnye chombo kikubwa kama bunge na kufanya matumizi mabaya ya nafasi na muda ktk kuyajadili mambo ambayo tayari yanafanyiwa kazi na na timu ya wataalamu ambayo tayari mheshimiwa rais alishaunda

ingekuwa vema zaidi kwa Gwajima kutumia nafasi na muda aliopewa bungeni kuchangia kama angeishauri serikali kupitia wizara ya afya ni nini kifanyike kuboresha huduma hasa ya vifaa na wataalamu kwenye hospital ambazo zimejengwa ili ziweze kuwapa wananchi hudumu stahiki

kimsingi yapo mambo ambayo yanahitajika ktk kuboresha huduma ya matibabu ktk hospitali zetu na hasa ktk hiki kipindindi cha janga la Covid 19

kwa mfano ingeshauriwa serikali itizame ni kwa namna gani ingeweza kuboresha japo kwa kuanzia kwenye hospital za rufaa kuhakikisha kwamba zote zinapata ventilator za kuwahudumia wagonjwa wa Covid waliozidiwa wapate huduma inayohitajika na mambo kama hayo na pengine hata Kuongeza ktk kuwaajiri wataalamu wenye ujuzi zaidi kutoka nje ili watusaidie katika swala la tiba na hata kutoa elimu ya juu zaidi kwa wataalamu wetu

Na pengine ni kwa namna gani maabara zetu ziboreshwe ili kuweza kufanya uchunguzi wa kina zaidi kwenye chanjo ambazo tutazipata kutoka nje ili pia tupate kuwa na hakika nazo zaidi

lakini siyo kujadili na kuongelea swala ambalo Rais ameshali-adres kwa taifa na tayari ameshaunda tume tena ya wataalamu wa afya ili wampelekee mapendekezo na ushauri wa kitaalamu kwamba ni nini kifanyike ikiwa ni pamoja na habari hiyo chanjo pia ikiwemo ndani yake na kabla hata taarifa ya tume haijatoka na pengine haijamaliza hata kazi yake wewe mtu ambaye huna utaalamu kwa habari ya afya ya binadamu na wala hauko kwenye tume unaingia hapo katikati na kuanza kuponda kile kinachofanyika duniani kote hii sawa hata kidogo ni bora angesubiri ikatoka taarifa ya tume na kutokea hapo ndipo akatoa ushauri wake akizingatia hiyo taarifa

kwenye swala la kupambana na Covid hatupaswi kuwa na mihemko wala hatupaswi kutumia zaidi hisia na mitizamo binafsi katika mapambano haya ila inatakiwa zaidi tuungane na wenzetu na hasa ambao wameshaendelea zaidi yetu kisayansi ili na sisi tuweze hata kupambana ktk matibabu lakini zaidi ktk kinga

na tunapokataa hata kama ni chanjo basi tukatae kwa hoja za kitaaluma kusema kama maabara zetu zimechungaza hizo chanjo na zikapata madhara yapi ambayo hayajaelezwa kwenye chanjo

lakini sidhani kama tutakuwa tunafanya vema ikiwa tunakataa chanjo za ulaya na huku hatosemi mbadala wake nini huu ushauri si sawa sana

wabunge tumieni vizuri muda na nafasi mnazopewa kuchangia bungeni na na wala siyo uchangia kwa mihemko na kupoteza muda

maswala kama ya afya hayahitaji kuendeshwa kiimani kama Inavyofanyika kwenye nyumba za ibada ambako ndiko yalipo mambo ya kiimani na maswala ya kiroho

maswala ya afya yanahitaji sayansi zaidi ndiyo maana waawepo watu wamekaa madarasani muda mwingi sana miaka wakifanya masomo na tafiti nyingi tuu kwa ajili hiyo.
 
Kabla ya k

Attention;

Kabla ya kumpuuza nataka atupeleke kwanza sisi vijana wa Kawe Marekani na pia ile treni tuione relini.

Hayo ya chanjo ya corona tuiachie wizara kwanza.
 
Hofu na mashaka kwa waumuni wa Gwajima,wanachezewa akili kweli kweli.
 
Hofu na mashaka kwa waumuni wa Gwajima,wanachezewa akili kweli kweli.
Kitendo cha kuingia kanisani kwake tayari unakuwa ushakuwa mtumwa wake wa kudumu.

Ndiyo maana hao kina Gwajima hawaishi kwenda kupeleka zaka Nigeria
 
Sijakataa mkuu,lakini hii imeharakishwa, kuna mtandao inaitwa VAERS Marekani ,unaripoti matatizo yoyote yanatokana baada ya kupata chanjo ya pili ya Covid,kwakweli cases za mle zinasikitisha, kuanzia watu kuparalyze kbsa, mpka wajawazito kupoteza mimba zao,mpka wanawake kupata hedhi zisizoeleweka, na watu wenye miaka 25 kupata heart attacks..Data kamili na efficiency za hizo chanjo zitatoka 2023,kwanini tusisubiri,lkni wanaotaka kuchukua wakachomwe ,ila ku-mandate hizo chanjo kwa kila mTanzania bado kwa kweli... Also Pfizer Wana historia mbaya, walishawahi kupigwa faini ya dola million mia tatu kwa kuidanganya serikali kuhusu moja ya dawa zao in the early 90s
 
Kuna chanjo ya malaria inakuja, Tanzania ni moja ya nchi zilizochaguliwa kuanza kuchanjwa watoto.
Zuwieni na hiyo kwakuwa hii nayo inatoka hukohuko.
Au mmeigundua ninyi?

Ngwajima anaelezea chanjo zingine ambazo tayari Tanzania ilizipata toka huko na magonjwa yamekoma, kwanini Corona tu?

Mimi ingeniingia akili angesema kuwa tunaletewa chanjo ambayo wenyewe wanatumia chanjo ingine tofauti na hii.

Anasema eti kuna taasisi za dharula ndizo zinaoruhusu chanjo hii kutumika, mpuuzi kabisa gwajima.

Kati ya vitu anavyoheshimu mzungu ni usalama na afya za watu wake,haiwezikuwa rahisi kuruhusu kataasisi ka hovyo kachezea afya za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…