Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nakuunga mkonoTurudi nyuma.
Hapo issue ni katiba,- jinsi alivyopatikana gwajiboy na anayoyaongea ni sawa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkonoTurudi nyuma.
Hapo issue ni katiba,- jinsi alivyopatikana gwajiboy na anayoyaongea ni sawa tu.
Kashindwa kumfufua mteuzi wake itakuwa wewe jirani yake?Hivi Mkuu kwa Nini tuogope wakati Baba Askofu Gwajima ana uwezo wa kutufufua tukifa kwa Corona??!!!!!! Mkuu Mimi siwaelewi watu uoga wa Nini? Nakuunga mkono Mkuu Chanjo hazina maana, tukifa kwa Corona Baba Askofu apewe tu taarifa aje kutufufua.
Kutokana na huyu virus anavyobadilika kila wakati lazima trial itaendelea mpaka kupata ile inayo weza cover mutation zote,so hakuna sababu ya kusubili why tusijikinge kuzuia mutation maana ubishi wa kutojikinga ndo utasababisha mamutation ya huyu virus kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine so trial itaendelea ila Sio kwamba chanjo iliyopo kwa Sasa Sio effectiveMimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..
FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
Mimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..
FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
Hivi Maalim seif alikosea wapi hadi akang'olewa na hiyo kitu?Wewe na jiwe na huyo Gwajima akili zenu sawa na subirini lwang'oe mmoja mmoja
Hao watu wamejaa sana hapa nchini na duniani kiasi kwamba kuna baadhi ya wananchi wanawaamini kabisa na wanajitolea kuwachangia sadaka kila siku wakati ni matapeli tu.Uaskofu aliupata toka kwa nani? These stupid burgers self-proclaimed Bishops must be ignored in their entirety
Wanakuwa wanapigwa juju kuwapumbaza na usije ukakubali kwenda kwenye makanisa yao .Ajabu watu wamefumbwa ufahamu kabisa..dah..imani ni kitu kingine
UsifundisheWewe akili hauna Corona imemuondoa Maalim seifu ila sioni humu kulisema hilo au nae alikuwa na mawazo ya kijima?
Kaulize chatoHivi Maalim seif alikosea wapi hadi akang'olewa na hiyo kitu?
Israel nchi ambayo anaihusudu hawana lockdowns baada ya raia wake wote kuchanjwaNimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona.Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil,Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja.wameshusha hadi grade 1.Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo?Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia,wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi,na utaifishaji wa mali.analijua hilo?Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #Kazi iendelee.
Wewe ndio unaongea habari hizo.Kaulize chato
Shida kubwa sana ikiwa mtu anakuwa anaongea kwwnye chombo kikubwa kama bunge na kufanya matumizi mabaya ya nafasi na muda ktk kuyajadili mambo ambayo tayari yanafanyiwa kazi na na timu ya wataalamu ambayo tayari mheshimiwa rais alishaundaNimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona.Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil,Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja.wameshusha hadi grade 1.Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo?Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia,wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi,na utaifishaji wa mali.analijua hilo?Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #Kazi iendelee.
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona.Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil,Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja.wameshusha hadi grade 1.Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo?Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia,wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi,na utaifishaji wa mali.analijua hilo?Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #Kazi iendelee.
Nenda kaulizeWewe ndio unaongea habari hizo.
Kitendo cha kuingia kanisani kwake tayari unakuwa ushakuwa mtumwa wake wa kudumu.Hofu na mashaka kwa waumuni wa Gwajima,wanachezewa akili kweli kweli.
Wewe na jiwe na huyo Gwajima akili zenu sawa na subirini lwang'oe mmoja mmoja
Sijakataa mkuu,lakini hii imeharakishwa, kuna mtandao inaitwa VAERS Marekani ,unaripoti matatizo yoyote yanatokana baada ya kupata chanjo ya pili ya Covid,kwakweli cases za mle zinasikitisha, kuanzia watu kuparalyze kbsa, mpka wajawazito kupoteza mimba zao,mpka wanawake kupata hedhi zisizoeleweka, na watu wenye miaka 25 kupata heart attacks..Data kamili na efficiency za hizo chanjo zitatoka 2023,kwanini tusisubiri,lkni wanaotaka kuchukua wakachomwe ,ila ku-mandate hizo chanjo kwa kila mTanzania bado kwa kweli... Also Pfizer Wana historia mbaya, walishawahi kupigwa faini ya dola million mia tatu kwa kuidanganya serikali kuhusu moja ya dawa zao in the early 90sHivi hizo vaccination Watanzania mbona tumezitumia sana tu bila ya madhara yoyote? Chanjo ya ndui, polio, kifua kikuu, yellow fever n.k. na tunaendelea kutumia hizo chanjo hadi kesho kutwa. Angalia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika baadhi ya nchi za Ulaya na USA baada ya kutumia chanjo za Pfizer na Moderna ili kupambana na COVID-19 sasa idadi ya maambukizi na vifo imepungua mno hadi baadhi ya nchi kuanza kuondoa vizuizi mbali mbali vilivyowekwa vya COVID-19.
Kuna chanjo ya malaria inakuja, Tanzania ni moja ya nchi zilizochaguliwa kuanza kuchanjwa watoto.Mimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..
FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...