Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
pamoja na allegations zooote hadi za Tundu Lisu, mtu aachwe bila uchunguzi?Mkuu ipo siku ukilala ukiamka utaamka na habari ya Makonda akiwa rumande.Trust me kipo kinachoendelea chini kwa chini wewe ni mtu mdogo sana kuwa na infos.
sihitaji kuwa mtu mkubwa kujua kama kada wa ccm kada kama Makonda kufikishwa huko sio tu kwa makosaMkuu ipo siku ukilala ukiamka utaamka na habari ya Makonda akiwa rumande.Trust me kipo kinachoendelea chini kwa chini wewe ni mtu mdogo sana kuwa na infos.
Kumbe umepata jibu kwamba kuna kitanzi kinamhusu wakati wowote.sihitaji kuwa mtu mkubwa kujua kama kada wa ccm kada kama Makonda kufikishwa huko sio tu kwa makosa
yake bali kuna kutofautiana na wana ccm wenzie hasa wakuu.
Nam-block!wanaopiga tofali huwa hawaagi mzee. mzibue tu huyo jamaa.
Jibu swali mkuu?vijana wa bashite huwa mnachekesha sana. na akili mnafanana.
Hiyo bado ni ngum sana kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.Kumbe umepata jibu kwamba kuna kitanzi kinamhusu wakati wowote.
namaanisha kwamba, wote mnaomsapoti bashite hamnaga akili kama yeye, hata mkiongea hamnaga point kwasababu mmebumba kila kitu kwenye maisha yeny kuanzia majina elimu hadi utajiri. zero brain.Jibu swali mkuu?
Huhitaji kuwa na akili kuandika hayo mjinga yeyote anaweza andika hayo uliyoandika.namaanisha kwamba, wote mnaomsapoti bashite hamnaga akili kama yeye, hata mkiongea hamnaga point kwasababu mmebumba kila kitu kwenye maisha yeny kuanzia majina elimu hadi utajiri. zero brain.
Ahahahahahahah!Kuwa na adabu! Nitakupiga tofali maana humu JF lazima muda mwingine kuweka chekeche ubaki na sensible ones to respond to!
Ahahahahahah!Atafuata yeye Retired muuza madawa.
Hatuna akili? Binadamu yoyote akishaumbwa lazima awe na akili apokuwa na akili basi anakuwa kichaa hata kuandika hivi isingekuwa rahisi hivi mkuu!!?namaanisha kwamba, wote mnaomsapoti bashite hamnaga akili kama yeye, hata mkiongea hamnaga point kwasababu mmebumba kila kitu kwenye maisha yeny kuanzia majina elimu hadi utajiri. zero brain.
akili mnazo ila zinawatosha ninyi wenyewe tu, hazina msaada wala faida kwa Taifa. kwa yale aliyoyafanya bashite, kwa kiburi na unyanyasaji ule hata chizi anajua kilichokuwa kikifanyika. ukiona unasapoti ujue wewe akili unazo ila ziko chini kuliko za chizi.Hatuna akili? Binadamu yoyote akishaumbwa lazima awe na akili apokuwa na akili basi anakuwa kichaa hata kuandika hivi isingekuwa rahisi hivi mkuu!!?
HILO NI MUHIMU SANA MKUU Angalia Uvamizi wa CLOUDSTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Hili ngese linahusiko na kuondoa uhai vya wengi Sana....kipilimba alikuwa zoba kwa huyu makonda ......awamu ya tano k..maninaTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe