Kweli kuna haja ya kupata due diligence check list kabla ya kufanya muamala wowote. Wenzetu wanakuwa na credit bureau ambayo ina data ya mikopo yote yenye dhamana ya nyuumba.Ivi ndugu ukitaka kujua kama anayekuzia alichukulia mkopo kabla hujanunua utajuaje?
Hii nyumba anaeinunua asikurupuke atuliee afatilie in deep hata kwa kuuliza majirani why bei ndogo hivi.. Kwa kibamba yani nyumba kama hii na kiwanja cga Square mita 900 plus mabanfa ya kuku walahi si chini ya 50MIL.Hii nyumba inaonekana imejengwa kwenye mfereji wa maji
Tizama hii picha kwa nje ya dirisha la kushoto, inaonekana kabisa Kuna mafuriko.
Kingine kimazingira inaonekana hii nyumba imetelekezwa,
haionekani Kama Kuna watu wameishi hivi karibuni.
Na desemba mvua zilipochanganya mkurugenz wa ubungo alisema wote walojenga kwny njia za maji wabomoe wenyewe.
Otherwise,
atabomoa na watalipia gharama za ubomoaji.
Ila Kiukweli Bei, Bei Ni nzuri Sana.
KILA la heri atakaenunua
View attachment 1703599
Alafu anakaa kujiweni akiota ndoto atapata fala ampige hicho cha juu kashakipangia bajeti atanunua boda sijui atao mara atajenga chumba kimojanaona shida zako zote unataka kuzitatua kupitia udalali wa nyumba, utakuta mwenyewe anataka milion30, dalali wa kwanza kaongeza milion 20 (jumla mlioni 55), dalali wa pili kaweka milion 20 (jumla milion 75), wewe ukaona uwekepo milion 10, jumla 85........duh kweli dar mji mzito sana aiseeee
madalali ni miyeyusho mnooo kakaAlafu anakaa kujiweni akiota ndoto atapata fala ampige hicho cha juu kashakipangia bajeti atanunua boda sijui atao mara atajenga chumba kimoja
Na ana demu kamuahidi kumtoa dili likitiki
awa ndio wanawaambiaga dada zetu kuwa kuna ela anaisikilizia ikitiki tu wametoboa maishaAlafu anakaa kujiweni akiota ndoto atapata fala ampige hicho cha juu kashakipangia bajeti atanunua boda sijui atao mara atajenga chumba kimoja
Na ana demu kamuahidi kumtoa dili likitiki
🤣🤣🤣awa ndio wanawaambiaga dada zetu kuwa kuna ela anaisikilizia ikitiki tu wametoboa maisha
Hazina shida..mbona nimeeleza hapo juu..Hazina shida? Kwanini unaziuza?
Mkuu sometimes huna haja ya kujibia upuuzi kama huu,nyumba ni zako na unauwezo wa kufanya chochote bila ya kutolea sababu ya uamuzi wako,wanunuaji wa kweli definitely watakufuta inbox.Hazina shida..mbona nimeeleza hapo juu..
Nina uhitaji wa hizo hela kuokoa biashra zangu zingine