150,000,000/14,000,000 = 10.7 years.
Ni nani wa kudumbukiza milion 150 , urudishe fedha hizi kwà miaka 10 na miezi 7? Biashara ya nyumba za kupanga ni biashara kichaa
 
150,000,000/14,000,000 = 10.7 years.
Ni nani wa kudumbukiza milion 150 , urudishe fedha hizi kwà miaka 10 na miezi 7? Biashara ya nyumba za kupanga ni biashara kichaa
Biashara hii ni uwekezaji wa muda mrefu... Na ni utunzaji wa fedha wenye marejesho mazuri... Sio biashara ya kutaka kukimbizana kutajirika nayo..

Niambie biashara hii kazi yako ni nini hasa kama sio kukusanya 1.8M kwa kila mpangaji kila baad ya miezi 6..

Na jee unajua kwamba at any time unaweza kuuza nyumba hizi kwa bei kubwa kuliko uliyo nunulia?..
 
Usiuze nyumba mpendwa ni bora biashara zife ili nyumba zibaki.
Kuna wengine ndiyo biashara yao kujenga na kuuza..... Bati chakavu wameziba matundu zinapigwa rangi, tofali Nchi 4, mbao za kenchi marijekti/ zilizotumika zikaungwa ungwa...lakini kwa ajili ya Marumaru na Cellingboard ya Jipusamu unaingia mkenge...... Angalia sana hivi vitu....
 
Unawekeza kwà kuweka nyumba nne kwenye plot moja yenye hati moja? It's very risks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…