nyumba zina privacy za watu..na ni wapangaji
sio vyema kupiga picha mazingira yao na kuzipost mtandaoni
kama unahitaji kuona zaidi unaweza kwenda kuoneshwa
Toa hata ramani ya nyumba na kila nyumba ina sqm ngapi, hivyo ndio vitu vinavyoweza kumvuta mwekezaji.

Na ninarudia tena kama hizo nyumba na valuation yako sio "famba" the best nikuchukua mkopo, kwa hiyo unaua ndege watatu kwa jiwe moja ,
Mosi una rescue biashara zako
Pili unabakiwa na nyumba zako asset
Tatu utapata zaidi huko mbeleni kwani nyumba huongezeka thamani.

Ama sivyo utapoteza hiyo biashara yako na nyumba pia unaweza kupoteza kwa kuuza cheaply due to pressure na other risk factors zinazo endana na biashara yako maana hali inaonekana si hali
 
hii ni nyumba ya biashara sio ya kukaa mteja.. mteja anachotak akujua ni itamuingizia kiasi gani kwa uwekezaji atako fanya..kama anahitaji mengne kujua tumeweka namba za simu
 
Jina lako limekaa kama dalali wa real estate hivi, sasa weka bei halisi aliyokupa mwenye nyumba tuone kama tunaimudu
Njoo na ofa yako...
Hapo hata ningesema milioni 10...
Bado ingeonekana ya udalali
 
Nyumba 4 za kupangisha zina wapangaji wanalipa laki 3 kwa mwezi

Kwa mwaka nilikuwa naingiza milioni 14...
Kama una hakika hazina shida na ni ama zako au una mamlaka nazo, na bei inaweza kupungua, Tuma maelezo zaidi na simu kwenye Inbox yangu.
 
Ohoooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…