Nyumba Nzuri sana INAUZWA Tabata BARACUDA MILIONI 160 TU...Wahi sasa
Nyumba ina vyumba vitatu vikubwa kimoja master
Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana
Jiko kubwa na zuri + parking kubwa ya magari
Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki
Nyumba ipo karibu sana kutoka barabarani ni mwendo wa dakika 1 tu
BEI NI MILIONI 190 MILIONI 160 TU......Wahi sasa
Mawasiliano 0677 818283

MILIONI 160 TU .................IMEPUNGUA BEI

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.


 
Kwanini inauzwa?
 
Ukiona mtu anakwepa kujibu swali halisi basi kuna shida

Nilisikia jamaa anasema alinunua nyumba usiku hakulala
Kuna utaratibu wa kazi na details za kuweka mtandaoni..

Hivi mtu akisema mwenye nyumba anaitwa nani?....
Kweli unaadhani utapaswa kuweka details hapa?
Mkuu fikiria mara 2 jambo unalopinga..

Fahamu details za nyumba taarifa binafsi utazipata pindi utakpofanya mawasiliano

Mbona wapo wanaopiga simu na kupata details zote
 
Wabongo wakikosa hela ndiyo shida hiyo. Uchawi unakuwa mwingi sana.
Mtu anakuambia anauza nyumba. Kwa anahitaji mtafute document zote zipo. Mtu anauliza kwanini anauza? Ukishajua jua shida yake utamsaidia?
Ukienda dukani kununua hata viatu utaanza kumuuliza kwanini anauza viatu? Sema hauna pesa za kununua hiyo nyumba
UKIONA UMEANZA KUPATA PESA NA MICHONGO INATIKI. UNATAKIWA KUHAMA USWAHILINI HARAKA SANA. MAANA WATU KM HAWA HUWA WENGI SANA. UTASHANGAA UNAANZA KUCHUKIWA BILA SABABU.
Ukiona mtu anakwepa kujibu swali halisi basi kuna shida

Nilisikia jamaa anasema alinunua nyumba usiku hakulala
 
ndo hivyo...tunaishi nao
 
Basi yaishe Mkuu

Biashara iendelee
 

Sawa biashara iendelee
 
Nimeipenda sana

Kila la heri chief

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…