FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kama ni shida, kwanini asiende kukopa 200 million bank alafu asilipe, then bank wachukue? Problem solvedHiv kweli utatangaza shida/ tatizo la mtu mtandaoni...
Sababu ya kuuzwa ni privacy ya seller.. kwa muhitaji aje inbox/call nina details zote..
huo ni mtazamo wako...Kama ni shida, kwanini asiende kukopa 200 million bank alafu asilipe, then bank wachukue? Problem solved
una maliza mchezo kirahisi rahisi ..unaijua milioni 200 wewe?Mimi ninachofahamu, vitu vinavyouzwa kwa haraka haraka as if Dunia ndio inaisha kesho huwa kuna namna tu, lazima kuna namna, maana kama mwenye nyumba anashida ya pesa, ni kwanini asiende benki akakope hata millioni 200, halafu asilipe , then bank waichukue, basi, mchezo umeisha.
Hata kama anazo mia, si anashida? Au hana shida? Kama hana shida, kwanini anauza haraka haraka asi if kesho dunia inafika mwisho? Au ni wewe tu ndio unaleta msisimko wa kidalali kwamba inauzwa bei ya kutupa kumbe haman kitu, bei halisi ni 60 million? 🤷🏽♂️huo ni mtazamo wako...
unajua ana nyumba ngapi?
una maliza mchezo kirahisi rahisi ..unaijua milioni 200 wewe?
Unajua mtu ana nyumba ngapi?
Una kisia mambo kwa namna ambayo hata taarifa zake hauna
usiipangie watu mkuu.... kimfaacho mtu chake...Hata kama anazo mia, si anashida? Au hana shida? Kama hana shida, kwanini anauza haraka haraka asi if kesho dunia inafika mwisho? Au ni wewe tu ndio unaleta msisimko wa kidalali kwamba inauzwa bei ya kutupa kumbe haman kitu, bei halisi ni 60 million? 🤷🏽♂️
Madalali na nyinyi mnapiga spana wateja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtakula wapi sasausiipangie watu mkuu.... kimfaacho mtu chake...
mwandiko wako tu hauoneshi mtu ambaye amewahi shika hata milioni 10..
umeng'ang'ania shida shida... wapi nimesema nyumba inauzwa kwa ajili ya shidaaa??
We si umesema huwezi taja shida za mtu? Anyway kama hana shida, basi punguza presha na papara, hayo ya kupanikisha watu kwamba wahi sijui bei ya kutupa acha, hakuna mtu anauza kitu bei ya kutupa kama hana shida, au anatupenda sana?usiipangie watu mkuu.... kimfaacho mtu chake...
mwandiko wako tu hauoneshi mtu ambaye amewahi shika hata milioni 10..
umeng'ang'ania shida shida... wapi nimesema nyumba inauzwa kwa ajili ya shidaaa??
hamna mteja hapaaaaa..... 😀😀😀😀Madalali na nyinyi mnapiga spana wateja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtakula wapi sasa
Kweli mkuu, hiyo ndo njia poa kabisa!Mimi ninachofahamu, vitu vinavyouzwa kwa haraka haraka as if Dunia ndio inaisha kesho huwa kuna namna tu, lazima kuna namna, maana kama mwenye nyumba anashida ya pesa, ni kwanini asiende benki akakope hata millioni 200, halafu asilipe , then bank waichukue, basi, mchezo umeisha.
Mkuu wewe ni dalali uchwara!usiipangie watu mkuu.... kimfaacho mtu chake...
mwandiko wako tu hauoneshi mtu ambaye amewahi shika hata milioni 10..
umeng'ang'ania shida shida... wapi nimesema nyumba inauzwa kwa ajili ya shidaaa??
yaani wew ni ni bogus namba 1.... dalali kazi yake ni kufikisha bidhaa kwa wateja..Mkuu wewe ni dalali uchwara!
Kama wewe ni Estate Agent mwenye mshiko nunua hiyo nyumba , chukua documents halafu uza bei yako.
Unasahau kwamba JF ni home of great thinkers? Nililiona hilo toka mwanzo kwenye comment yangu ya kwanza, ila nilitaka nikubananishe kwenye kona hadi ukiri hilo wewe mwenyewe kwa kinywa chako, Kwahiyo umeumbuka au sio? Sawa 🤝maneno tu ya biashara..... SCARCITY.... hii ipoo kwenye marketing.. usitishike nayo
Scarcity marketing is marketing that capitalises on a customer's fear of missing out on something. It's based on the psychological principle that people want what is difficult to acquire
Usiwe unafanya hizi discussion.una maliza mchezo kirahisi rahisi ..unaijua milioni 200 wewe?
Unajua mtu ana nyumba ngapi?
Una kisia mambo kwa namna ambayo hata taarifa zake hauna
Tunawajua ninyi , kelele nyingi , mfukoni hata hata hela ya lunch Huna!yaani wew ni ni bogus namba 1.... dalali kazi yake ni kufikisha bidhaa kwa wateja..
na sio kununua na kuuza bei ya juu..huyo sio dalali ni mfanyabiashara...
mkuu una hata cheti cha std 7 kweliiiii
sielew maan ya hilo neno kuumbuka ndo nn..Kwahiyo umeumbuka au sio? Sawa 🤝
Mkuu Wakati mwingine kukaa kimya huwa ni busara,maana kuongea ongea kunafanya watu wakujue kuwa wewe ni mtu wa uelewa wa kiwango gani.Mimi ninachofahamu, vitu vinavyouzwa kwa haraka haraka as if Dunia ndio inaisha kesho huwa kuna namna tu, lazima kuna namna, maana kama mwenye nyumba anashida ya pesa, ni kwanini asiende benki akakope hata millioni 200, halafu asilipe , then bank waichukue, basi, mchezo umeisha.
Kama kiwango changu cha uelewa kiko chini, si bora niseme ili watu wajue then wakinipa maarifa uelewa wangu utapanda kuliko kukaa kimya, au?Benki kwa mfano ukikopa let's say 20M kwa dhamana ya nyumba,wakija kuuza nyumbani HARAFU isifike thamani halisi watakudai tu kiasi kitachosalia.
Unaposema akope M 200 kizembe namna hiyo unadhani benk inakopesha makande mkuu?
Ina mapopobawaUkiona mtu anakwepa kujibu swali halisi basi kuna shida
Nilisikia jamaa anasema alinunua nyumba usiku hakulala