Kuwa na nyumba au Asset yoyote ile sio kigezo pekee cha wewe kupata mkopo benki.Ingekuwa hivyo kila mwenye nyumba angekuwa na mkopo benki
 

Na akitaka kujua akapeleza kwa majiran kwa akil yake anafikir mwenye nyumba atamwambia tatizo [emoji28][emoji28]
 
Kama ni shida, kwanini asiende kukopa 200 million bank alafu asilipe, then bank wachukue? Problem solved
Hiyo nyumba umeona ni ya biashara? na kama hana biashara yoyote ile unadhani benki atawashawishi vp mpaka wampe hiyo hela.
 
Ila siamini kwamba ni swali la kijinga.. labda muktadha wa kuuliza ndo haupo sawa.. ila bado linabaki kuwa swali la msingi..

Je kama nyumba ina mgogoro?
Je kama hakukaliki?

Sababu kuu ya bidhaa yoyote ile kuuzwa ni kupatikana pesa tu. Hizo zingine ni mbwembwe na fikra za kijiweni tu. Hayana nafasi kwa muuzaji
 
Kiwanja/eneo lina ukubwa gani?
 
Hiyo nyumba umeona ni ya biashara? na kama hana biashara yoyote ile unadhani benki atawashawishi vp mpaka wampe hiyo hela.
Atawashawishi kwa asset aliyonayo, kwamba anaweza kapangosha au chochote kile, na atawalipa kwa awamu kadhaa
 
Sawa, ila asset ni kigezo cha msingi
Asset sio kigezo cha msingi kupata mkopo kwanza jua hilo.Bank huangalia biashara yako kama ndio kigezo kikuu kupata mkopo wa Bank kwani unapo pewa mkopo na Bank wao wanatarajia wewe kufanya marejesho ya mkopo na wao kama Bank kuendelea kupata faida.

Kwa akili yako uliyoitumia hapa kufikiri kuwa na Asset kama Nyumbs ndio kigezo kikuu kupata mkopo brother sio sawa ujawa shuhudia au kusikia Bank zinapata khasara kwa sababu, mfano Nyumba nyingi zimekosa soka nakuuzwa bei ya hasara au kutopata kabisa mteja wa kununu.
 
Kama ni shida, kwanini asiende kukopa 200 million bank alafu asilipe, then bank wachukue? Problem solved
Unafikiri bank ni dukani kwa mangi uneenda tu na documents zako unataka mkopo

Kaa kimya hujui hata mkopo ni nini
 
Biashara sio asset?, nyumba ukiipangisha sio biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…