Huna hoja zaidi ya viroja vya kutafuta mteja wa 400m JF. Ni sawa na kuulizia
Kitimoto rosti jela.
NB: 400m cash usawa huu jela hii hapa.
Kumbuka jf ipo dunia nzima pia dayaspora wengi hii ndio sosi yao kubwa ya habari
 
Nyumba ipo kinyerezi mwisho
Ina vyumba 4 vyote master
dinning,sitting room,jiko na public toilet + chumba cha mlinzi pembeni
Eneo lina sqm 1000
nyumba ina hati miliki mkononi
bei ni MILIONI 250 (250,000,000) TU....WAHI MAPEMA

Mawasiliano call/sms/whatsapp
0677 818283


Your browser is not able to display this video.

 
Weka picha za ndani na nje
 
Nyumba nzuri, kila la kheri kwa muuzaji na mnunuaji.

Kiwanja cha ukubwa huo kinapatikana kwa pesa ngapi maeneo hayo siku hizi?
 
Mkuu subiri ninase hela next week kama kitakwepo nitakuchek
Nimevutia na mazingira yake kwa ujumla
By the way its affordable price
 
Mjengo standard ila top ni 150M kwa mazingira mjengo ulipo!

Hio 250M tunanunuaga nyumba za Sinza au K.Nyama
 
Nyumba ina vyumba vitatu vikubwa kimoja master
Pia ina nyumba nyingine ndogo ya chumba na sebule + fremu ya biashara
Eneo la kiwanja ni 20 kwa 20 (sqm 400)
Nyumba ipo km 1.5 kutoka Morogoro road
BEI NI MILIONI 70 TU......Wahi sasa
Mawasiliano call/sms/whatsapp 0677 818283

NB:Kama unahitaji kuuza au kununua nyumba ndani ya Dar es salaam usisite kuwasiliana nasi

Mawasiliano call/sms/whatsapp 0677 818283
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…