Hapo chacha! inabidi familia yote iwepo kuridhia mauziano hayo; tofauti na hivyo baada ya mwaka anaibuka mwanafamilia kudai kesi zinaanza na mnahamia mahakamani! Bado kuna maswali mengi ya kujiridhisha
 
Zote zina wapangaji tayari, au nikishanunua ndo niwatafute?
 
Ungeaweka hivi, muuzaji amepata uraia wa kudumu Dubai anahama Tanzania kwenda UAE
 
NB:VIDEO YA MUDA KIDOGO BEI IMESHUKA MPAKA MILIONI 180

Mjengo upo Kigamboni gezaulale km 17 kutoka Kigamboni ferry.

Mjengo una vyumba vinne vyote ni master rooms

Eneo lake ni sqm 900 video inaeleza kila kitu

Bei ni milioni 180 tu (180,000,000)

Mawasiliano 0677 818283



Your browser is not able to display this video.


 
Ghorofa hili liinapatikana changanyikeni ni km 2 kutoka mlimani city

mjengo huu una vyumba jumla vinne..chini viwili na juu viwili

kuna sitting room ya kibabe,dinning ndio usiseme (ukikaa tu kwenye dinning hata kabla msosi haujafika ushashipa)

jiko store na public toilet ambazo sio za nchi hii

Hiyo finnishing yake ni ya ikulu

mjengo huu una eneo la sqm 350 .. tunatunza matumizi ya rdhi tunajenga kwenda juu kisasa zaidi

BEI NDO USISEME SASA MILIONI 300 TU

HATI IPO HAKUNA LONGOLONGO

maelekezo mengine yote utayapata hapa 0677 818283



 
Ongeza picha mkuu...hasa muonekano wa nje...na ukubwa wa eneo....Changanyikeni ni eneo zuri hata kibiashara.
 
dar ela izi, acha niwai kibaruani buguruni kwenye kuuza maji ya kandoro nijifukize na kujikinga na korona uenda kesho yangu ikawa bora zaidi ya leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwamba umewaza nn aisee, kwamba umeona mjengo tu nguvu ya kupambana ikaongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…