King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Bei nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda anatakiwa kumalizana na dppUnamiliki nyumba zote hizi halafu unakuaje na shida ya ghafla? Inafikirisha
Familia
Zote zina wapangaji tayari, au nikishanunua ndo niwatafute?Apartment 4 zipo ndani ya eneo moja.
Kila apartment ina vyumba 2 kimoja master, jiko, sitting, dinning na public toilet.
Zinajitegemea kwa kila kitu umeme na maji na parking ya kutoshaa wapangaji wanalipa 300,000 kwa mwezi hapa una uhakika wa milioni 1 na laki 2 kila mwezi.
Nyumba zipo Ukonga madafu ..hazipo mbali na barabara kuu..ni umbali wa kutembea tu dakika 5 huhitaji bodaboda
Bei ya kuuzia ni milioni 120 (tsh 120,000,000/=) Tu
Mawasiliano 0677 818283
View attachment 1681723
Ungeaweka hivi, muuzaji amepata uraia wa kudumu Dubai anahama Tanzania kwenda UAEApartment 4 zipo ndani ya eneo moja.
Kila apartment ina vyumba 2 kimoja master, jiko, sitting, dinning na public toilet.
Zinajitegemea kwa kila kitu umeme na maji na parking ya kutoshaa wapangaji wanalipa 300,000 kwa mwezi hapa una uhakika wa milioni 1 na laki 2 kila mwezi.
Nyumba zipo Ukonga madafu ..hazipo mbali na barabara kuu..ni umbali wa kutembea tu dakika 5 huhitaji bodaboda
Bei ya kuuzia ni milioni 120 (tsh 120,000,000/=) Tu
Mawasiliano 0677 818283
View attachment 1681723
Je, kwa sasa zote zina wapangaji au la??Kwa mazingira ya nyumba xilipo na umbali kutoka barabaran... Si sehem ya kukosa sspanfaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwamba umewaza nn aisee, kwamba umeona mjengo tu nguvu ya kupambana ikaongezeka.dar ela izi, acha niwai kibaruani buguruni kwenye kuuza maji ya kandoro nijifukize na kujikinga na korona uenda kesho yangu ikawa bora zaidi ya leo
diamond ni msanii wa kaole sanaa group, kama ujajua mkuuSasa Diamond anashindwa jenga kama hili pamoja na kwamba anapata 200mil kwa mwezi
Ongeza picha za nnjehaina tatizo lolote..karibu sanaa