Hivi kibamba Viwanja vinaenda kwa sh. Ngapi? Mfano kiwanja cha 20m kwa 20m na kipo 2km kutoka morogoro road
 
Nyumba ipo chanika mwisho mjini kabisa
nyumba ina eneo lenye sqm 2000(nusu heka)
nyumba ina vyumba vitatu kimoja master ina jiko, dining, sitting room na public toilet
nyumba ina fensi barabarani inafikika umeme na maji vipo
bei ni milioni 45 tu (fixed)
mawasiliano 0677 818283




 
Bei nzuri sana hii,
Na anaye uza kweli anashida maana uwekezaji huo na bei inayouzwa haviendani.!
 
Bei nzuri sana wadau na pia nyumba ni nzuri kwa bei hiyo. Kwa matazamo wangu binafsi
 
Dah,nyumba nzuri sana ngoja nikachungulie kibubu kama kitaruhusu ila naamini pungufu kidogo ya hapo utachukua mkuu.
 
Mbona imekaa kama banda la kufugia kitimoto.HAHAHAHAHAAAAA
 
Iko poa Sana mkuu ata Bei ni rafiki sema tu hali sio nzuri
 
Kwa hii nyumba Kuwepo kibamba alafu Kuuzwa bei ya kutupwa hivi aisee.. Bado akili yangu inagoma Mil 35 ni bei ya hasara sana labda kama jamaa amekumbwa na matatizo makubwa mno.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Na huyu kadalalia kuna sehemu nimeona inauwzwa Milioni 27 tena nyumba hi hi
 
Hii nyumba inaonekana imejengwa kwenye mfereji wa maji

Tizama hii picha kwa nje ya dirisha la kushoto, inaonekana kabisa Kuna mafuriko.

Kingine kimazingira inaonekana hii nyumba imetelekezwa,

haionekani Kama Kuna watu wameishi hivi karibuni.

Na desemba mvua zilipochanganya mkurugenz wa ubungo alisema wote walojenga kwny njia za maji wabomoe wenyewe.

Otherwise,
atabomoa na watalipia gharama za ubomoaji.

Ila Kiukweli Bei, Bei Ni nzuri Sana.

KILA la heri atakaenunua
View attachment 1703599
 
Nauza nyumba YENYE eneo kubwa sana ..MILIONI 85
Nyumba ipo kimara suka GOLANI..KM 4 Kutoka Morogoro Road
Ina vyumba vitatu kimoja master ina sitting ,dinning,jiko, public toilet na bafu lake
Mabanda manne ambayo nilikuwa nafugia kuku
Eneo kubwa sana sehemu ya kuingilia unaweza jenga nyumba nyingine kubwaa tu
BEI NI MILIONI 85
WAHI SASA BEI NI YA KUTUPA
Mawasiliano call/sms/whatsapp 0677 818283



 
Tuonyeshe na picha ya hayo mabanda ya kuku niyaone yalivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…