Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Yaani. Ili mradi tu wavunjeHahahaha. Kuna bomba la maji taka kutoka Mloganzila kwenda baharini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani. Ili mradi tu wavunjeHahahaha. Kuna bomba la maji taka kutoka Mloganzila kwenda baharini.
Mm nilinunua 5M 2014, sijui sasa hiviHivi kibamba Viwanja vinaenda kwa sh. Ngapi? Mfano kiwanja cha 20m kwa 20m na kipo 2km kutoka morogoro road
sawa..!!haiwezi fika...
eneo ilipo, na hadhi yake sio kwa bei hiyo Mkuuhaiwezi fika...
Mbona imekaa kama banda la kufugia kitimoto.HAHAHAHAHAAAAANyumba ipo chanika mwisho mjini kabisa
nyumba ina eneo lenye sqm 2000(nusu heka)
nyumba ina vyumba vitatu kimoja master ina jiko, dining, sitting room na public toilet
nyumba ina fensi barabarani inafikika umeme na maji vipo
bei ni milioni 45 tu (fixed)
mawasiliano 0677 818283
View attachment 1703386View attachment 1703387View attachment 1703388View attachment 1703389View attachment 1703390View attachment 1703391View attachment 1703392View attachment 1703393
Na huyu kadalalia kuna sehemu nimeona inauwzwa Milioni 27 tena nyumba hi hiKwa hii nyumba Kuwepo kibamba alafu Kuuzwa bei ya kutupwa hivi aisee.. Bado akili yangu inagoma Mil 35 ni bei ya hasara sana labda kama jamaa amekumbwa na matatizo makubwa mno.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuh Mil 10 ni bei ya kiwanja cha 900 square ujue... nyumba mil 17Na huyu kadalalia kuna sehemu nimeona inauwzwa Milioni 27 tena nyumba hi hi
Na huyu kadalalia kuna sehemu nimeona inauwzwa Milioni 27 tena nyumba hi hi
Kuna tatizo mahali sio bureNa huyu kadalalia kuna sehemu nimeona inauwzwa Milioni 27 tena nyumba hi hi