House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu
Floor plan pls.
Ssioni vzr paa lake, kwani ni contempolary?
 
Nyumba nzuri sana
Bei halali kabisa

Ova
Mbona bei ndogo hiyo? Amefanya assessment ya thamani ya hiyo nyumba au amekisia tu? Akumbuke kama alijenga zamani basi sasa kwa bei hiyo hawezi kabisa. La pili ajue hapo kuna capital gains tax (nadhani 10%) zitafyekwa na TRA.

Labda kama ana shida sana au alipata fedha kwa njia za panya ndiyo anauza kwa bei hiyo. Trust me.
 
Back
Top Bottom