Hivi kweli, ekari moja huwa ina square meter ngapi?Eneo lipo geza ulole km 14 kutoka kigamboni ferry
Eneo lina HATI MILIKI
Ukubwa ni sqm 12,000
Lipo barabarani kabisaa
Bei ni milioni 180 Tu (180,000,000/=)
Unaweza nunua na kuwauzia wengine kidogo kidogo kwa faida
mawasiliano 0677 818283 au 0688 8888 43
View attachment 1668613