Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu
Mbona kama ni eneo la hifadhi ya bahari.
hifadhi ya bahari ndio kitu gani mkuu... unaogopa kwakuwa inapakana na maji ya bahari?
hapana ni eneo halali la mtu binafsi na linatambulika mpaka manispaa

kikubwa unaponunua mali inayohusiana na ardhi chukua kopi ya hati peleka manispaa husika waiangalie kama eneo ni halli kwa mmiliki husika...
 
Eti heka 2 ndani Bado 800 kutimia heka 2 bei ya kutupwa million 750 ? Kwa picha eneo hilo linafaa kwa hotel . Ila dalali bhn
 
Beach plot ipo mjimwema kigamboni

5KM kutoka kigamboni ferry

eneo lake ni sqm 7228 (ni kasoro sqm 800 ifike heka 2)

Ina hati miliki

BEI NI MILIONI 750 (750,000,000)

MAWASILIANO 0677 818283

Huku kumenoga zaidi:

1610456875543.png
 
hifadhi ya bahari ndio kitu gani mkuu... unaogopa kwakuwa inapakana na maji ya bahari?
hapana ni eneo halali la mtu binafsi na linatambulika mpaka manispaa

kikubwa unaponunua mali inayohusiana na ardhi chukua kopi ya hati peleka manispaa husika waiangalie kama eneo ni halli kwa mmiliki husika...
Kwenye bahari au mito kunakuaga na umbali fulani ambao hautakiwi kujenga na uwa unaachwa kwa kuwa mto au bahari inaweza kujaa na kufika eneo hilo. Simaanishi kuwa eneo ni reserve bali nimeuliza tu
 
Nitajuaje kwamba ww ni mwaminifu?
Nimezaliwa na uaminifu ndo Mana nasema nipo tayari kwa hatua zozote zile mwenye nyumba atakazochukua ili nimuaminishe Sina tukio la uovu lolote na nipo tayari mwenye nyumba anifahamishe sehemu za kisheria kwamba Mimi ndio muangalizi wa nyumba yake
 
Nina beach plot 2 zipo kigamboni
1.ipo kigamboni kwa mwingira kilomita 5 kutoka ferry
-Ina ukubwa wa sqm 7228 ipo mita 150 kutoka barabara ya lami
-Inafaa kwa ujenzi wa hotel inagusa maji kabisa
BEI NI MILIONI 800

MAWASILIANO 0677 818283

hii hapa video yake

0677 818283

1.ipo kigamboni geza ulole (mwongozo kibaoni) kilomita 17 kutoka ferry
-Ina ukubwa wa sqm 9700 ipo kilomita 3 kutoka barabara ya lami
-Inafaa kwa ujenzi wa hotel/makazi pia inagusa maji kabisa
BEI NI MILIONI 800
hii hapa video yake

0677 818283

Shamba lipo kiwangwa bagamoyo limeshaendelezwa
Lina heka 11 kati ya hizo heka 9.5 zina nanasi
MVUA ZA MWEZI WA 3..MWAGA MBOLEA TU UJE URUDISHE PESA YAKO MWEZI WA 10
mikorosho 60, mistafeli 30, minazi 50 limao kidogo na passion kidogo
Limezungushiwa nguzo za sement na wire
KM 9 KUTOKA BARABARA KUU YA LAKI NA LINA FIKIKA VIZURI SANA

Linauzwa kwa sababu mmiliki ana shamba kubwa zaidi ..
kuhudumia mashamba mawili imekuwa ngumu..ni bora auze moja ili aweke nguvu kwenye shamba moja kubwa zaidi

BEI NI MILIONI 35 TU
mawasiliano 0677 818283
WhatsApp Image 2021-01-31 at 11.03.09.jpeg
WhatsApp Image 2021-01-31 at 11.03.32.jpeg
WhatsApp Image 2021-01-31 at 11.03.51.jpeg
WhatsApp Image 2021-01-31 at 11.05.07.jpeg
WhatsApp Image 2021-01-31 at 11.05.39.jpeg
WhatsApp Image 2021-01-31 at 11.06.55.jpeg

mawasiliano 0677 818283

Mkuu unauza na hako kajumba? Nipatepo pa kuweka kichwa!
Shamba lipo kiwangwa bagamoyo limeshaendelezwa
Lina heka 11 kati ya hizo heka 9.5 zina nanasi
MVUA ZA MWEZI WA 3..MWAGA MBOLEA TU UJE URUDISHE PESA YAKO MWEZI WA 10
mikorosho 60, mistafeli 30, minazi 50 limao kidogo na passion kidogo
Limezungushiwa nguzo za sement na wire
KM 9 KUTOKA BARABARA KUU YA LAKI NA LINA FIKIKA VIZURI SANA

Linauzwa kwa sababu mmiliki ana shamba kubwa zaidi ..

kuhudumia mashamba mawili imekuwa ngumu..ni bora auze moja ili aweke nguvu kwenye shamba moja kubwa zaidi

BEI NI MILIONI 35 TU
mawasiliano 0677 818283
View attachment 1690738View attachment 1690739View attachment 1690740View attachment 1690741View attachment 1690743View attachment 1690744
mawasiliano 0677 818283

Back
Top Bottom