Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu
1 hectare = 10 000 square meters

Kwa hiyo hekta moja inaweza kuwa mita 100 urefu kwa mita100 upana

 
Kwa hiyo basi:
12,000/4 046.85642=2.9653
Uko sahihi kabisa, ni eka tatu hizo
 
Eneo lipo geza ulole km 17 kutoka kigamboni ferry
Eneo lina HATI MILIKI
Ukubwa ni sqm 12,000
Lipo barabarani kabisaa
Bei ni milioni 180 Tu (180,000,000/=)
Unaweza nunua na kuwauzia wengine kidogo kidogo kwa faida

mawasiliano 0677 818283 au 0688 8888 43


View attachment 1668613
15,000/= per square meter. Bei nzuri sana kama ni tambarare
 
sanaa..mtu anaweza nunua akauzia watu kidogo kidogo..

unaweza kuuza kwa 30,000 per square meter
Benki sikopesheki, yaani hapa nilipo nina overdraft mpaka kwenye salary slip yangu. Natamani ningekuwa na hela hiyo
 
sanaa..mtu anaweza nunua akauzia watu kidogo kidogo..

unaweza kuuza kwa 30,000 per square meter

Hii inawezekana vipi kiwanja ambacho tayar kina title deed, hivi unaweza wagaia watu? Umiliki wao unakuaje? Maana kuna shamba lilipimwa badae kutaka kubadili matumizi mizinguo kweli huko ardhi yaani wanaweka ngumu sana.
 
Hii inawezekana vipi kiwanja ambacho tayar kina title deed, hivi unaweza wagaia watu? Umiliki wao unakuaje? Maana kuna shamba lilipimwa badae kutaka kubadili matumizi mizinguo kweli huko ardhi yaani wanaweka ngumu sana.
hilo ni jepesi, kwanza una surrender hati ya kwanza halafu wanapima upya wala hakuna longolongo. kinachoangaliwa ni master plan tu, kama itafaa kwa makazi wanarekebisha.
 
Shamba la miti ya mi-pine ambayo ipo tayari kuvunwa lina ukubwa wa heka 7
Kuna miti 4000 ya mi-pine ina umri wa miaka 15
Unaweza kuvuna au ukaendelea kuiacha ukavuna hapo baadaye
Nina shida sana ndio maana nauza
Nakuuzia miti pamoja na shamba lake linakuwa na umiliki wako
shamba lipo iringa karibu na barabara
BEI NI MILIONI 40

mawasiliano 0677 818283

WhatsApp Image 2021-01-09 at 08.21.21.jpeg
WhatsApp Image 2021-01-09 at 08.21.22 (1).jpeg
WhatsApp Image 2021-01-09 at 08.21.22.jpeg
 
Wahehe njoeni mtoe uthibitisho wa picha, hilo shamba ndo lenyewe? Miti ndo hiyo? ili mleta mara apate mteja.

Kama kavideo kwa shamba kapo, itapendeza.
 
kuna sehemu nmenunua shamba la miti heka 2 ile kuchana tu mbao robo heka mke wangu akaanza kuchekaa pesa ishaludi..
 
Beach plot ipo mjimwema kigamboni

5KM kutoka kigamboni ferry

eneo lake ni sqm 7228 (ni kasoro sqm 800 ifike heka 2)

Ina hati miliki

BEI NI MILIONI 750 (750,000,000)

MAWASILIANO 0677 818283
136754908_4172016919520525_7327456915416996233_n.jpg
136767976_4172016989520518_5461859117859886003_n.jpg
137065604_4172016826187201_3337415829534446472_n.jpg



 
Back
Top Bottom