Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

Nipo nasoma comment kimya kimya
 
Ndio ukweli mchungu huo,
Oral sex ni nzuri ila haiko safe 100% unaweza ukaambukizwa fangasi, magonjwa ya zinaa na hata kupata kansa kwa hiyo kupima ni muhimu kabla hujaanza kuburudika.
Unachosema inaweza kuwa sahihi kuna wanangu wawili walikuwa wakali wa kufyonza nyuchi

Mmoja meno yalianza kung'oka sijui kuna acid kali zikafanya meno yaanze kulegea na kung'oka kule chini mwingine tulimzika cancer ya koo ilimuondoa
 
"Kipi kikuchekeshechacho?"
Udogoni udogoni iyo sentence tulishindwa kuisema haraka haraka.......
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

NB:
Kale kakuku kadogo kapo kwako kaka..

Sema hii sentesi hapo juu ni ngumu kuisema haraka haraka......
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…