Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Hizi ndio zile sera za kuahidi kuweka mabomba ya maziwa nchi nzima.

Utatoa wapi fedha za kulipa watumishi double the salary,

Labda tuamue tuache Kila kitu ili tuwe tunalipa watu mishahara tu.
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Hizi ahadi kama za Mzee Hashimu Rungwe!
 
hapa ndipo jamaa anazidi kuonekana chizi anaehitaji msaada wa haraka, we unadouble mishahara wa watu si watu watadumbukia kwenye umaskini ambao ndo unakua ule wa zimbabwe, wanasiasa wengine bana ni shida juu ya matatizo wacha amalize siasa zake uchwara arudi belgium

nani alikwambia mshahara ukiongezwa watu wanatumbukia kwenye umasikini mkuu ? emu tuletee hapa mifano ya nchi mbili tu ambazo watumishi waliongezewa mshahara nchi ikawa masikini alafu mimi nitaleta mifano sita ya nchi ambazo mishahara iliongezwa watu wakaishi vizuri.
kwa akili ya kawaida kabisa mshahara wa mtumishi ukiongezwa utaongeza pia na purchasing power ya huyo mtumishi ambapo akinunua bidhaa au akifanya shughuli za maendeleo kama kujenga atasaidia kipato kipatikane kwa familia za watu wengine pia na hata akitumia mshahara wake kwenye ulevi itasaidia ma bar maid nao kuishi vizuri.
 
Hii inanikumbusha zile ahadi zaidi ya 60 za bw. Kikwete.
 
hapa ndipo jamaa anazidi kuonekana chizi anaehitaji msaada wa haraka, we unadouble mishahara wa watu si watu watadumbukia kwenye umaskini ambao ndo unakua ule wa zimbabwe, wanasiasa wengine bana ni shida juu ya matatizo wacha amalize siasa zake uchwara arudi belgium
Ni jamaa aliyeelimika kisheria na kuongeza umbumbumbu kwenye mengine yooote!
 
Hizi ndio zile sera za kuahidi kuweka mabomba ya maziwa nchi nzima.

Utatoa wapi fedha za kulipa watumishi double the salary,

Labda tuamue tuache Kila kitu ili tuwe tunalipa watu mishahara tu.
Kadri pesa nyingi inapoingia mtaa inasisimua uwekezaji,hatimae mapato pia yanaongezeka
 
nani alikwambia mshahara ukiongezwa watu wanatumbukia kwenye umasikini mkuu ? emu tuletee hapa mifano ya nchi mbili tu ambazo watumishi waliongezewa mshahara nchi ikawa masikini alafu mimi nitaleta mifano sita ya nchi ambazo mishahara iliongezwa watu wakaishi vizuri.
kwa akili ya kawaida kabisa mshahara wa mtumishi ukiongezwa utaongeza pia na purchasing power ya huyo mtumishi ambapo akinunua bidhaa au akifanya shughuli za maendeleo kama kujenga atasaidia kipato kipatikane kwa familia za watu wengine pia na hata akitumia mshahara wake kwenye ulevi itasaidia ma bar maid nao kuishi vizuri.

you have a lot to learn,
 
na ana wafuasi wa kutosha
Angalia na ubora wa wafuasi, Boss! Na mikoa watokayo. Baadaye utajua malengo ya wafuasi. Kumbuka pia kusoma taarifa ya NBS ili ufahamu demography ya nchi hii ili ujue uwezekano wa kupata kura ngapi. Huo ndo usomi na uelewa.
 
Kwani posho na mishahara minono ya wabunge inatoka wapi?

Hivi Lumumba misukule itaisha lini?
Badala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha
 
Duuu Tundu sasa azime mitandao kabla ya kudanganya umma . Ulaya gani anayosema watu wanalipwa Kwan week. Yes wapo watu wanalipwa weekly kama wenye kazi za kuunga unga kama agency workers watu wengi waajiriwa na serikali wanalipwa monthly . Tanzania hatuna kazi zinazoweza kufanya watu waanze kulipwa Kwan mfumo huo otherwise ajenge viwanda kwanza maana yake afuate nyayo za Magu ajenge viwanda vinginevyo hayo anayosema ni ndoto. Huyu Jamaa naona alijibanza kwa masela anaepiga shift akajua ulaya nzima ni wapiga shift? [emoji3525] .kidogo angesema watu walipwe per hour production inaongezeka ambayo nayo ni changamoto kwa utamaduni wa mwafrica . Otherwise nimkumbushe kama alikaribishwa na wasela wa shifts ulaya yote si watu wa shifts na inabidi Tundu aujenge uchumi wetu kwanza Ili ussuport copy and paste maana naona kila kitu anataka aishi kama bwana wale
Wewe hujui kitu, wachezaji tu wa ligi mbalimbali huko ulaya wanalipwa kwa wiki
 
..yaani wewe unataka watu miaka mitano wasipande vyeo, na wasipande mishahara?

..mtu ambaye performance yake hairuhusu kupanda cheo ndani ya miaka mitano anatakiwa kufukuzwa kazi.

..watumishi wanatakiwa wakaguliwe, na kusailiwa kila mwaka, kupima performance yao, na kuwapandisha mishahara accordingly.

..CDM wanaposema watapandisha mishahara maana yake watazingatia kwamba upandishaji huo utakuwa na tija.

..narudia tena: kupandisha mishahara, na kuondoa fedha za ziada ktk mzunguko, is a BALANCING ACT ktk kuendesha uchumi.

..tatizo la Jpm hapandishi mishahara, na haongezi uwekezaji, kwa kifupi hajui jinsi ya kuendesha uchumi. He needs to go!

kutopandisha mshahara haimaanishi utaendelea kuishi poor, its also a strategy akili zako zkiwa zpo vizuri inakua ni opportunity kwako! kuhusu uwekezaji just shut the hell up , ni vile tu haijakamilika ila chunga huo mdomo
 
Hakika Tundu Lissu ana lengo zuri la kuwavusha watumishi, kutoka kukata tamaa ya maisha mpaka kuwa na furaha na utumishi wao.
Watanzania Oktoba iko mbioni tusifanye makosa tena, maana usomaji namba za muhula wa pili utakuwa maradufu
 
Asisahau na swala la wahitimu kusotea nyumbani huyu jamaa wa chato alianza kwa mbwembwe sana kuwaondoa wa vyeti feki lakini mpaka sasa vijana Hawaoni tumaini
Wa vyeti feki walirejeshwa kazini kimya kimya kwa siri kukwepa Aibu baada ya wengi kuvipigia kelele vyeti vya Paul Makonda
 
kutopandisha mshahara haimaanishi utaendelea kuishi poor, its also a strategy akili zako zkiwa zpo vizuri inakua ni opportunity kwako! kuhusu uwekezaji just shut the hell up , ni vile tu haijakamilika ila chunga huo mdomo
Kutopandisha mishahara hupelekea watumishi wa umma kubuni mbinu za ufisadi kuomba omba Rushwa kutengeneza mazingira ya vipato vya ziada
 
Back
Top Bottom