Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kukumbana na wananchi wakitaka maendeleo ya vitu

Lissu amerejesha tabasamu kwenye nyuso za watanzania. Miaka mitano iliyopita ilikuwa mirefu mno.
 
We we ni masikini wa akili na hoja.
Kama unajiunga na JF na huwezi kuelewa lugha nyepesi anayoelezea Lissu basi utakuwa na mzito kuliko hata huyo jiwe
 
Mkuu wewe ni taahira? Kwani Lissu anapinga ujenzi wa miundombinu? Anachosema Lissu maendeleo ya vitu yaende pamoja na maendeleo ya watu! Sasa maji hiyo siyo maendeleo ya watu? Mwaka huu MATAGA mpaka mjambe cheche! Kila kona mnapigwa!!
 
Haya majibu mazito mnayapataga wapi!
 
Ameuliza kwanini ujengwe uwanja wa Chato badala ya barabara za huko Mufindi.

Ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa DSM badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.

LISSU hana focus kwenye kampeni zake. Kila mtu anajua umuhimu wa daraja la baharini kuwa ni kupunguza foleni iliyopo ktk barabara ya Ali Hassani Mwinyi na Ocean Road. Anapopinga daraja hilo, watu wa OSTERBAY wote na maeneo ya jirani hawatampigia kura.
 
kwan inashindikana nn ili lichama kufutwa maaaana ni kero tu
 
Naapa na nnaamini hata laki moja hapo huna...unamhonga Nani? Labda yeye ndo akupe hela ya kula ..miccm bwana
Acha kuapa vitu ambavyo hauna uhakika navyo, bado nawaza 🤔 kwanini comment ambayo haikuwa inakuhusu imekuuma hivyo zaidi ya mlengwa.

Hiyo laki moja wenzako tunaitupa kwenye bundles.Watu wote wenye maisha, wasio na nafasi yoyote ya kimasilahi ndani ya chedema, huwezi kuwakuta wakioshabikia CHADEMA, na kujifanya washupavu nyuma ya keyboard Kama mnavyofanya humu, watafanya hivyo ujanani,wakijitambua wanahamia CCM.Tafuteni hela, tafuta hela.

NB:Huyo🖕 mmeo hawezi kunipa Mimi hela ya kula.
 
Imeniuma Kwasababu mhusika namfahamu alivyo Safi...chadema wamejaa watu waliojitambua wewe sio nyie mafisadi...haya hamuoni..tumewachoka tunahitaji nchi yetu 28th
 
Hu
Huna hoja mkuu.
 
Ameuliza kwanini ujengwe uwanja wa Chato badala ya barabara za huko Mufindi.

Ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa DSM badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.
Uwanja wa ndege chato ni wa kuvutia watalii wa mbuga ya Burigi
 
Lissu kawashika pabaya sana, Lissu shikilia hapohapo mnahangaika sana.
Hadi Mr president sasa hivi hataki kuletewa maneno na watu anataka kusikiliza mwenyewe Lisu kasemaje Leo,Binafsi nimependa sasa hivi anajionea mwenyewe watanzania walivyomchoka anashangaa mbona wapambe walikuwa wananiletea maneno mengine tofauti na anachokiona
 
Imeniuma Kwasababu mhusika namfahamu alivyo Safi...chadema wamejaa watu waliojitambua wewe sio nyie mafisadi...haya hamuoni..tumewachoka tunahitaji nchi yetu 28th
Ndomaana unatakiwa uache kujipendekeza kwenye comments ambazo hazikihusu, kwasababu mwenzako hapo juu 🖕,alikuwa anadai awe mnufaika wa zile million 50 za kila Kijiji,zenye lengo la kusaidia Kaya masikini, Sasa hayo maisha Safi unayosema wewe kayatoa wapi🤔?
Mmekosa hela mifukoni, mnataka kuisingizia CCM? Kwamba tukiwaachia nchi hiyo tarehe 28th ndo mtatajirika😂?

Vijana pigeni kazi, acheni kuwa wasindikizaji wa maisha ya watu, huku kwenye majukwaa hata huyo Lissu wako akipita hatakuletea chochote mfukoni wewe shabiki ndala huku mitandaoni, zaidi ya kunufaika yeye,familia yake na watu wake wa karibu.🚶
 
Sasa wewe uvccm umenufaika Nini naccm yako!?..unapiga debe tu hapo wanaokula maisha wenginee!unadhani unavyoshupaza shingo huku Magu atakuteua? Potea
 
Sasa wewe uvccm umenufaika Nini naccm yako!?..unapiga debe tu hapo wanaokula maisha wenginee!unadhani unavyoshupaza shingo huku Magu atakuteua? Potea
Sina haja ya teuzi zake,Nina maisha mazuri, hata kabla Magu hajaingia Madarakani, na hata alivyoingia sijayumba kivyovyote vile, hivyo Sina sababu ya kumchukia au yoyote ile ya kuacha kumchagua.Hilo ni juu yangu, usilazimishe nipende unachokipenda wewe kwasababu zako binafsi.🙏🙏
 
Ameuliza kwanini ujengwe uwanja wa Chato badala ya barabara za huko Mufindi.

Ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa DSM badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.

Hivi Lissu ana mpango wa kwenda kuomba kura Chato na Kigamboni? Akiffika huko atawaambia kuwa uwanja haustabili kujengwa? Na Kigamboni atawaambia daraja lao ni la kupunga upepo?
 
Na wewe usilazimishe vitu unachopenda wewe tupende wote..unaipenda ccm haya ...tuache na sisi tunaomwelewa Lissu the Greatest..kiboko ya Magufuli...
 
Unadhani hiyo pesa ya Chato na hilo daraja la baharini vingemaliza matatizo ya barabara Tanzania nzima?
Siyo lazima kumaliza lakini gharama ya hivyo viwili ni kubwa mno Ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda barabara nyingi vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…