Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We we ni masikini wa akili na hoja.Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu Lissu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji na kwamba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahirisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyonayo na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu muda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu Lissu akiingia madarakani atatekeleza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyoomba au atataka awajaze pesa ili wawe na furaha kwanza?
Mkuu wewe ni taahira? Kwani Lissu anapinga ujenzi wa miundombinu? Anachosema Lissu maendeleo ya vitu yaende pamoja na maendeleo ya watu! Sasa maji hiyo siyo maendeleo ya watu? Mwaka huu MATAGA mpaka mjambe cheche! Kila kona mnapigwa!!Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu Lissu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji na kwamba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahirisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyonayo na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu muda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu Lissu akiingia madarakani atatekeleza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyoomba au atataka awajaze pesa ili wawe na furaha kwanza?
Haya majibu mazito mnayapataga wapi!Acha upotoshaji! Watanzania tulio wengi tunataka maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu! Hakuna mfanyakazi atakayekubali kunyimwa haki zake za msingi mfano kupandishwa daraja kwa wakati, kisa eti unajenga barabara au kununua ndege!
Mbona wakati wa JK hizo barabara, madaraja, nk vyote hivyo vilijengwa kila kona ya nchi! Lakini bado ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu, haki za wafanyakazi na makundi mengine katika jamii ziliheshimiwa?
Iweje huyu mtu wenu aone barabara na ndege ni vitu vya muhimu sana kuliko haki za wengine? Mbona hatujawahi kumsikia akijipunguzia mshahara na posho zake?
Hata Rais angekua ni Lissu au Hashimu Rungwe, bado hizo barabara zingejengwa tu. Hilo ni moja ya jukumu la serikali yoyote ile duniani. Na kodi tunazolipa na mikopo ya ndani na nje ya nchi, hufanikisha zoezi hilo.
Ameuliza kwanini ujengwe uwanja wa Chato badala ya barabara za huko Mufindi.
Ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa DSM badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.
Acha kuapa vitu ambavyo hauna uhakika navyo, bado nawaza 🤔 kwanini comment ambayo haikuwa inakuhusu imekuuma hivyo zaidi ya mlengwa.Naapa na nnaamini hata laki moja hapo huna...unamhonga Nani? Labda yeye ndo akupe hela ya kula ..miccm bwana
Hata Mimi nilikuwa na waza hivyo..!kwan inashindikana nn ili lichama kufutwa maaaana ni kero tu
Acha kuapa vitu ambavyo hauna uhakika navyo, bado nawaza 🤔 kwanini comment ambayo haikuwa inakuhusu imekuuma hivyo zaidi ya mlengwa.
Hiyo laki moja wenzako tunaitupa kwenye bundles.Watu wote wenye maisha, wasio na nafasi yoyote ya kimasilahi ndani ya chedema, huwezi kuwakuta wakioshabikia CHADEMA, na kujifanya washupavu nyuma ya keyboard Kama mnavyofanya humu, watafanya hivyo ujanani,wakijitambua wanahamia CCM.Tafuteni hela, tafuta hela.
NB:Huyo🖕 mmeo hawezi kunipa Mimi hela ya kula.
25%Mwaka 2015 magufuri 52.3, lowasa 47.6 ila mwaka huu Magu hafikishi hata 45
Huna hoja mkuu.Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu Lissu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji na kwamba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahirisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyonayo na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu muda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu Lissu akiingia madarakani atatekeleza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyoomba au atataka awajaze pesa ili wawe na furaha kwanza?
usisahau na kaNoah mkuuTunaomba kwanza zile milioni 50 zetu za kwenye kila Kijiji. Kupovuka tu hakutusaidii chochote.
Uwanja wa ndege chato ni wa kuvutia watalii wa mbuga ya BurigiAmeuliza kwanini ujengwe uwanja wa Chato badala ya barabara za huko Mufindi.
Ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa DSM badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.
Hadi Mr president sasa hivi hataki kuletewa maneno na watu anataka kusikiliza mwenyewe Lisu kasemaje Leo,Binafsi nimependa sasa hivi anajionea mwenyewe watanzania walivyomchoka anashangaa mbona wapambe walikuwa wananiletea maneno mengine tofauti na anachokionaLissu kawashika pabaya sana, Lissu shikilia hapohapo mnahangaika sana.
Ndomaana unatakiwa uache kujipendekeza kwenye comments ambazo hazikihusu, kwasababu mwenzako hapo juu 🖕,alikuwa anadai awe mnufaika wa zile million 50 za kila Kijiji,zenye lengo la kusaidia Kaya masikini, Sasa hayo maisha Safi unayosema wewe kayatoa wapi🤔?Imeniuma Kwasababu mhusika namfahamu alivyo Safi...chadema wamejaa watu waliojitambua wewe sio nyie mafisadi...haya hamuoni..tumewachoka tunahitaji nchi yetu 28th
Ndomaana unatakiwa uache kujipendekeza kwenye comments ambazo hazikihusu, kwasababu mwenzako hapo juu 🖕,alikuwa anadai awe mnufaika wa zile million 50 za kila Kijiji,zenye lengo la kusaidia Kaya masikini, Sasa hayo maisha Safi unayosema wewe kayatoa wapi🤔?
Mmekosa hela mifukoni, mnataka kuisingizia CCM? Kwamba tukiwaachia nchi hiyo tarehe 28th ndo mtatajirika😂?
Vijana pigeni kazi, acheni kuwa wasindikizaji wa maisha ya watu, huku kwenye majukwaa hata huyo Lissu wako akipita hatakuletea chochote mfukoni wewe shabiki ndala huku mitandaoni, zaidi ya kunufaika yeye,familia yake na watu wake wa karibu.🚶
Sina haja ya teuzi zake,Nina maisha mazuri, hata kabla Magu hajaingia Madarakani, na hata alivyoingia sijayumba kivyovyote vile, hivyo Sina sababu ya kumchukia au yoyote ile ya kuacha kumchagua.Hilo ni juu yangu, usilazimishe nipende unachokipenda wewe kwasababu zako binafsi.🙏🙏Sasa wewe uvccm umenufaika Nini naccm yako!?..unapiga debe tu hapo wanaokula maisha wenginee!unadhani unavyoshupaza shingo huku Magu atakuteua? Potea
Ameuliza kwanini ujengwe uwanja wa Chato badala ya barabara za huko Mufindi.
Ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa DSM badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.
Sina haja ya teuzi zake,Nina maisha mazuri, hata kabla Magu hajaingia Madarakani, na hata alivyoingia sijayumba kivyovyote vile, hivyo Sina sababu ya kumchukia au yoyote ile ya kuacha kumchagua.Hilo ni juu yangu, usilazimishe nipende unachokipenda wewe kwasababu zako binafsi.🙏🙏
Siyo lazima kumaliza lakini gharama ya hivyo viwili ni kubwa mno Ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda barabara nyingi vijijiniUnadhani hiyo pesa ya Chato na hilo daraja la baharini vingemaliza matatizo ya barabara Tanzania nzima?