Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

wajinga ndio WALIwao acha mi niendelee na ubwabwa,
 

Popote atakapoenda kasoro ccm, nitamuunga mkono.
 
Hilo tangazo ni la kweli ?? Maana kuna matapeli wengi sana
 
Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga,halafu aliyekwambia mimi ni mwanamke nani? Stay'n ur lane na ufanye yako!
Muandiko wa Kike Dada.
So hutaki ma Sponsor tuku sort?
Kwa nia Njema tu
 
Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga,halafu aliyekwambia mimi ni mwanamke nani? Stay'n ur lane na ufanye yako!

Siku zote mimi najua ww ni mwanamke kutokana na uandishi wako. Kama kweli ni mwanaume, jichunguze unakosea wapi.
 
Ila ningekuwa naitetea CDM ungeniona mwanaume;Sawa

Haijalishi, lakini kweli siku zote najua ww ni ke. Au huwa unajilengesha kiaina kwa mabasha humu jukwaani? Tujilishane maana tunatumia hiyo huduma, fahamu siasa sio uadui.
 
Kama unaona haikihusu,kaa kushuto.

Nijuavyo mimi ni kuwa, hata kuchukua form ya kugombea uraisi ndani ya chama ni gharama(unalipia) ingawa sijui ni kiasi gani mbali na kusaka wadhamini kwahiyo ni wazi kuna gharama za awali ambazo hazikwepeki.
Pesa za kulewea mpaka miguu inavunjika zipo, za kuchukulia fomu tuchange sisi, duh..yule mama na Msigwa wao fomu wanapewa bure? afu bado mapema sana na mwenyekiti hajapata haki, kwa nini swala lake la kuvamiwa na kuvunjwa mguu tunalizima kwa kasi sana?
 
Anapoteza muda na pesa zake tu,bora hizo pesa anazosaka azipige pombe tu kama mwenzake anavyofanya ,matumaini hayapo tena.
 
Abebe box kwanza 2025 ndio arejee.kwa sasa hii spidi hatutaki kuidistab
 
CDM kila mtu kambale, mwamba anamtaka Msigwa. Huyo perepete sijui atapitaje kwenye chama, labda aende ACT
 
Umeandika vyema.

Nchi yetu inahitaji ukombozi mpya.

Kuna hawa watawala ambao sasa wanajiona kama sisi ni mali zao, hatuna utashi wa kuwaondoa, hadi wanatunga sheria za kutukandamizia na tusifanye lolote juu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…