Wahuni HawaPesa za kulewea mpaka miguu inavunjika zipo, za kuchukulia fomu tuchange sisi, duh..yule mama na Msigwa wao fomu wanapewa bure? afu bado mapema sana na mwenyekiti hajapata haki, kwa nini swala lake la kuvamiwa na kuvunjwa mguu tunalizima kwa kasi sana?
Ni ngumi hiyo mabeberu wamwache lisu wakati wanaishi nae huko huko nyumba, chakula mavazi kila kitu anapewa?Nadhani hawajamfadhili
Pesa zimepelekwa kweny miradi ya maji ya hawala mpya aliyejifanya anabana, sasa hana jeuri tena ameamua kuachia mabeberu waingize rungu
Tunajua mataga wanafanya yote matumizi ya nguvu ya dola na hata matunguri wamejipanga vizuri lakini hayo yote ndio mtaji wetu. Naapa kwamba ni suala la muda tu tutashika dola na haki itatendeka hata kama mmeanza kubadilisha katiba na kujiondoa mahakama ya haki za binadamu Arusha, hakuma namna mtachomoka.Ndoto hizi hamjaaza kuota leo,ameanza kuota mzee mtei mpaka amezeeka hapo chagadomo mtaitwa wapinzani mpaka mwisho wa dunia
Kuna Uzi upo humu madiwani 5 Arusha wameikimbia Sacco's leo, nani anakitaka chadema saivi,chama kinajiozea kina nuka uvundo wa Mambo machafu kila mtu anakimbia, wabunge/madiwani/viongozi/wanachama na Tomaso unaota kushika dola?Tunajua mataga wanafanya yote matumizi ya nguvu ya dola na hata matunguri wamejipanga vizuri lakini hayo yote ndio mtaji wetu. Naapa kwamba ni suala la muda tu tutashika dola na haki itatendeka hata kama mmeanza kubadilisha katiba na kujiondoa mahakama ya haki za binadamu Arusha, hakuma namna mtachomoka.
Kila mtu anajua ni kiasi gani cha kodi wa wananchi inatumika kuhonga madiwani na wabunge wa CDM kuhamia ccm na inashangaza kwamba mnajitapa na mambo haya. Misifa ya kijinga itawamaliza.Kuna Uzi upo humu madiwani 5 Arusha wameikimbia Sacco's leo, nani anakitaka chadema saivi,chama kinajiozea kina nuka uvundo wa Mambo machafu kila mtu anakimbia, wabunge/madiwani/viongozi/wanachama na Tomaso unaota kushika dola?
Samahani mkuu kama comment yangu imekukwaza, never intended to offend you.Wewe akili zako huwa zinarudi tukikutana nje ya jukwaa hili.
Basi chadema ni dhaifu ikiwa kila mtu ana hongwa!! Sacco's haina mvuto imejichokea taabani plus Mambo ya hovyo hovyo yanayo endelea humo Wala msimtafute mchawi, mchawi wenu ni mwenye Sacco's yakeKila mtu anajua ni kiasi gani cha kodi wa wananchi inatumika kuhonga madiwani na wabunge wa CDM kuhamia ccm na inashangaza kwamba mnajitapa na mambo haya. Misifa ya kijinga itawamaliza.
Tindo wewe sio wa kumtilia lisu Shaka acha maccm wawaze hivyo.
Nyumbu lazima walizweNdugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter
View attachment 1478123
Basi chadema ni dhaifu ikiwa kila mtu ana hongwa!! Sacco's haina mvuto imejichokea taabani plus Mambo ya hovyo hovyo yanayo endelea humo Wala msimtafute mchawi, mchawi wenu ni mwenye Sacco's yake
Najua kinachokusumbua.Hivyo hunipi tabu
Tumechoka na ngonjera zenuKwa taarifa yako sio kuhongwa tu, bali watu wanatishiwa mpaka maisha na kuhujumiwa shughuli zao ili wajane cdm. Hata ikiwa chama kingine kikaingia madarakani na kuamua kucheza siasa chafu, 75% ya wanaccm watahama ccm. Sasa kama hapo wako madarakani lakini wanamwita rais Yesu, pata picha hawako madarakani.
Isijekuwa wewe ndio unatafuta Basha maana hiyo Sacco's yenu Ina Mambo yote machafu ushoga, usagaji, uzinzi, ulevi,kula pesa za wabunge, kuwanyanyasa kingono viti maalumu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Sisi watu wa pwani tunasema Basha hajisifii ukiona mtu anajifu yeye ni Basha jua Hilo Ni dunyaMimi ni basha wa muda mrefu, labda nibadilikiwe tu.
Tumechoka na ngonjera zenu
Sisi watu wa pwani tunasema Basha hajisifii ukiona mtu anajifu yeye ni Basha jua Hilo Ni dunya
Ngonjera hizo si huku jembe linapiga kazi baada ya uchaguzi leteni Tena ngonjera mpaka uchaguzi mwengine Tena mtazeeka na jina wapinzaniFacts si ngonjera dogo.
Ni mbeba maono au mbeba mauno?Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter
View attachment 1478123