Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Ipo ipo kwenye zile bill 8 alikula mbowe
Mkuu mr chopa, hiyo smartphone uliyopewa na polepole kwaajili ya KUFIA CHAMA humu ni i phone toleo gani? Au mligawiwa tecno tu?
 
Mkuu mr chopa, hiyo smartphone uliyopewa na polepole kwaajili ya KUFIA CHAMA humu ni i phone toleo gani? Au mligawiwa tecno tu?
Uwe na adabu Kama wewe umepewa huko bavicha sio wote,ujue ili iweje? Hata iwe ya kitochi Ni yangu
 
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter

View attachment 1478123
Ubunge tu ameshindwa kuutendea haki atauweza urais ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliyepo madarakani kaufanyia nn urais?? Akiwa mbunge chatto kaifanyia nn, ulishawahi kufika chatto ??
Kama alichokifanya Mh rais mpaka sasa hukioni basi bila shaka una matatizo ya kiakili.

Pia kuhusu embu linganisha Chato linganisha Chato ya Magufuli na Chato ya Kikwete ipi ina maendeleo.
 
Huyu nitamchangua 150,000 kufikia mwisho wa wiki. Niko radhi familia yangu ikae kwa shida. Ni nitaongeza kadiri muda unavyokwenda. Atudhibitishe tu pesa zetu kutumika kwa shughuli husika.
Amen
 
Unajua sheria za kufungwa traffic lights zikoje?

Sihitaji kujua sheria, lakini wingi wa magari ndio kigezo namba moja. Sihitaji kwenda kujifunza sheria ili kujua ni wapi traffic lights zinahitajika, akili ya kawaida kabisa inaweza kujua hilo. Au unadhani ukinitajia hilo neno sheria ndio litanitisha?
 
Kumbe ninaongea na kijana asiyejielewa .

Kwa heri ,siku ukijitambua njoo tuendeleze mjadala.
 
Back
Top Bottom