Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Zaidi ya wanafunzi nusu millioni waliochaguliwa kwenda from 1 nchi nzima awajaenda.Idd Amin Mwendazake lazima asemwe
Waulize makamba Sr na Jr, Kinana nk wanasemaje kuhusu ukweli wa Lisu.Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
Ban hupewa wapumbavu kama wewe..Zaidi ya wanafunzi nusu millioni waliochaguliwa kwenda from 1 nchi nzima awajaenda.
Wazazi wanalaumu ugumu wa maisha kutoweza wapeleka watoto shule pamoja na kwamba elimu bure.
Kwa kiazi kama wewe uwezi ona kushindwa kwa serikali kupambana na inflation na madhara yake.
Hivi kwanini mods awakupi ban ata ya mwezi mmoja watupumzishe kusoma ujinga wako.
Amemkashifu vipi, je waliotaka kumwua si walitumwa na serikali ya Magufuli. Ulivyo na roho ya kishetani unapata ujasiri kutuandikia huu upuuzi? Alichofanyiwa Lissu angefanyiwa ndugu yako wa karibu ungethubutu kuandika upuuzi huu? Lissu anatuelezea ukatili aliofanyiwa. Geti lilikshafunguliwa maaskari wakaondolewa, CCTV zilizimwa zote. Na baada ya mashambulizi yote yale serikali haikujihangaisha kuchukua hatua yoyote, Rais wa nchi aliyeapa kulinda uhai wa watanzania alikuwa Magufuli bado unakuja kutuandikia ushetani km huu, hivi unajisikiaje? Aliyetaka kumwua Lissu alikuwa Magufuli dunia yote inafahamu. Ila Mungu alivyokuwa fundi amekufa yeye. Lissu amepona anatuhadithia unyama wa yule katili. Magufuli hakuwa binadamu wa kawaida alikuwa muuaji. Mazuzu km nyie wenye roho za kichawi km yeye Zitto alishawaambia mkamfuate kaburini.Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
we aliyekuzaa ana hasara ya jumla siyo kwa upumbavu huoPia rais ni taasisi. Sasa mtu huko atoke anakotoka. Halafu aanze kusema rais ni muuaji. Hiyo inaleta taswira gani kwa wananchi kuhusu taasisi hiyo ya urais? Tundu lisu katukosea watanzania tulio wengi.
Inabidi utafutiwe pumpers mtu mzima na wa kukubadilisha it won’t be nina kinyaa balaa khaa ata kusoma fikra zako tu.Ban hupewa wapumbavu kama wewe..
Wanafunzi watasakwa popote na wataenda,Iko hivyo Toka zamani wewe Bata ndio unaelewa Leo Kwa sababu Teknolojia ya upashanaji habari imekua sana..
Harafu ulivyo mpumbavu,hao mil.1.1 ndio wanatarajiwa kuanza la kwanza Sasa ukisema zaidi ya mil.1 hawajarupoti ndio kusema madarasa Yako empty Sasa wakati huu ni uongo 😁😁😁😁
Bata jike naona unawashwa nitakupanda utataga siku sio nyingi na utatulia
Kasafishe mtaro wa anal kwanza ndio uje tujadili hoja una polluteInabidi utafutiwe pumpers mtu mzima na wa kukubadilisha it won’t be nina kinyaa balaa khaa ata kusoma fikra zako tu.
Kabla ya kuchagua kwenda kwenye hizo lugha hakikisha upo tayari, in all honesty mtu akifika huko huwa naona keshaishiwa.
Amini usiamini ili ushinde hiyo vita kuna mawili mod wa edit post zangu (max kazuia hiyo option) mods waingilie simu yangu nime up grade nipo iPhone 14 they can’t hack it yet.
Tukienda huko mimi huwa sipewi ban tu na account wanaifunga, na wewe peke yako uwezi it takes JF established members to deal with me and fouls.
Tuliza mshono mama, vinginevyo utafumuliwa ukimbie mtaa wa udoe.
Acha urongo,mbona kasema sasa waje tu wawahoji na mpaka sasa bado?Unaweza kumuua kichaa? Mbowe alivyosema alivamiwa kumbe mlevi tu ilikuwa sahihi? Kwanini Lissu hataki dereva wake ahojiwe? Ikitokea suala hili likaenda mahakamani atakataa asihojiwe? Kwanini?
Picha hii inamjibu Lissu kwa 100%
Wewe ni zuzuRais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
Hapa ndipo ulivyo mjinga sasa mkashindwa nini kulipeleka mahakamani ili atafutwe huyo mnayedhani kuwa anahusika maana wenye dhamana ya kulinda raia ni serikali kwa nini serikali hata ilificha picha za cctv camera.Unaweza kumuua kichaa? Mbowe alivyosema alivamiwa kumbe mlevi tu ilikuwa sahihi? Kwanini Lissu hataki dereva wake ahojiwe? Ikitokea suala hili likaenda mahakamani atakataa asihojiwe? Kwanini?
Huyu jamaa bado ana kisirani na kisasi na hayati magufuri. Ndio maana kila uchao haachi kumtaja. Ukijiuliza ni kwann anakazania kumuongelea mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki why ana hangaika kumuongelea ili iweje sasa?!