Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aiseeee !!!alikuwa anapinga UKANYABOYA wa Magufuli ambao KABUDI kaudhibitishaView attachment 2504748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee !!!alikuwa anapinga UKANYABOYA wa Magufuli ambao KABUDI kaudhibitishaView attachment 2504748
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."
Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.
View attachment 2504783
Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa Magufuli aliposema anayeenda kinyume na nchi auawe, alimaanisha anayeenda kinyume na yeye Magufuli, auwe.Labda nikukumbushe
Jaji mkuu anateuliwa na Rais wa JMT
Spika wa Bunge anapendekezwa na CC ya CCM ambayo Rais wa JMT ndiye Mwenyekiti wake na vikao vyake hufanyikia Ikulu
CDF anateuliwa na Rais wa JMT
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi anateuliwa na Rais wa JMT
Msajili wa Vyama vya Siasa anateuliwa na Rais
Kwa kifupi Katiba ndio inampa Udikteta Rais
Usidanganywe na chochote kwa Tanzania Rais ndio Nchi yenyewe!
Jichagulie jina mwenyewe linalomaanisha nguruwe mla mavi. Maana kwenye list ya binadam umeamua kujitoaHuyu nae amezidi kujiona so special kwani yy ni nani!!???
kwani yy angekuwa wa kwanza kuuwawa!!??
Kenya yenyewe enzi za Moi miaka ya 1992 walimng'oa Robert Auko baada ya kuona anaenenda ndivyo sivyo.
Kenya hiyo hiyo 1969 Jomo Kenyatta through its inner circle walimuua Tom Mboya baada ya kubaini alikuwa ni CIA na msaliti
So hizi issue ni za kawaida popote pale duniani pindi unapoekwenda tofauti na maslahi ya serekali ya wakati huo (government of the day) nimeweka mifano ya jirani yetu Kenya ila mifano ipo kibao (so issue ya Lissu haistui)
Taifa lolote duniani ukiwa msaliti wanakung'oa hakuna ajabu hapo.
Mwambieni hii Kiki yake tumeichoka aje na mipango madhubuti ya kukuza uchumi sio blah blah za kizembe
Hiyo iko duniani koteKwa hiyo unakubaliana nami kuwa Magufuli aliposema anayeenda kinyume na nchi auawe, alimaanisha anayeenda kinyume na yeye Magufuli, auwe.
Mungu ni mwenye huruma, mwingi wa rehema na msamaha kwao wanaotubu, na siyo wanaonea fahari uovu wao. Mungu hutoa msamaha kwa yeyote anayemlilia, lakini Mungu hafungamanishwi na shetani. Mungu huonesha ukuu wake kwao wamliliao na huwapa ushindi wale wanamlilia na kumtegemea kwa wakati ufaao.Mungu anawapenda sana wenye dhambi ili waifikilie toba!
Maana hata wewe unaibilisi wako na ndiyo maana unadhambi unazozificha machoni pa watu lakini kwa Mungu huna uwezo wa kuzificha
Kwa hiyo lisu alikuwa msaliti?Huyo Tundu Lissu, ninachomsifu huwa haogopi kutamka lolote!
Kama ni nyeupe atasema ni nyeupe. Full Stop
Lisu anajichanganya sanaUlikuwepo nchini wakati wa utawala wa dikteta Magufuli?
Yeye ndiye alikuwa nchi. Yeye ndiye alikuwa katiba. Yeye alikuwa bunge, yeye alikuwa mahakama.
Kwa hiyo kumpinga yeye ilikuwa unapinga nchi. Lisu alikuwa anampinga dikteta Magufuli kuzuia exports za concentrates bila ya kufuata sheria.
Vipi wale walitupa bomu na kuua watu 5 pale kwenye mkutano wa chadema soweto arusha wao watapelekewa moto lini?Muuaji alipelekewa moto toka Mbinguni. Lisu ambaye alitakiwa kufa kwa maelekezo ya dikteta, akashuhudia msiba wa aliyetaka kumwua.
Lisu, daima simama katika haki, tembea katika haki, uishi katika haki. Maana ni kwa kupitia wewe, ukuu wa Mungu uliweza kudhihirika hata mbele ya maibilisi.
Mungu wetu, tunakuomba daima ulilinde Taifa letu na watu wake. Mashetani hata wakija, wasiweke makao katika Taifa hili, bali uwaondoshe kwa kadiri ya hekima yako Bwana. Tunaomba faraja kwaajili ya familia ya Ben Sanane, Aziry, Kanguye na wote walioondoshwa katika Ulimwengu huu kwa agizo la mtawala dhalimu.
Kwa hiyo yeye alikuwa msaliti?
Sasa kwanini lisu ajishtukie kwamba yeye alikuwa ndio msaliti?Wasaliti ni wale waliokua wanaiba hela za watu kwa mtindo wa plea bargain
Mbona Jk aliua watu watano kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule soweto arusha na yupo?Angeweza kushtakiwa kwa vitendo vyake kama Magufuli na siyo Rais. Kuna avenue ya kumshtaki
Kwa hiyo lisu alikuwa msaliti?
Kama ni hivyo basi ilikuwa sahihi kwake kuuliwa
Jumatatu yuko ITV kile kipindi cha dakika 45. Yaani kila chombo cha habari kina tafuta kipindi na Lissu. Usishangae hata TBC wakawa nae soon.Kweli maisha yanaenda kasi, leo hii clouds wanamuhoji Lissu? Kabisaaa yaani?
Kwani Lisu alikuwa anaenda kinyume na nchi?Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa Magufuli aliposema anayeenda kinyume na nchi auawe, alimaanisha anayeenda kinyume na yeye Magufuli, auwe.
Lisaliti linang'olewa tuJichagulie jina mwenyewe linalomaanisha nguruwe mla mavi. Maana kwenye list ya binadam umeamua kujitoa
Adhabu ya kusaliti nchi ni nini?..alitakiwa afikishwe MAHAKAMANI.
..Magufuli na serikali wangetoa tuhuma na ushahidi wake na Lissu angejitetea.
..baada ya hapo mahakama ndio ilipaswa kutoa hukumu stahiki.
..kama Mbowe alishtakiwa kwa ugaidi, Bibi Titi Mohammed alishtakiwa kwa uhaini, Thomas Zangira alishtakiwa kwa espionage, nini kiliwazuia kumpeleka Lissu mahakamani?