Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Labda nikukumbushe

Jaji mkuu anateuliwa na Rais wa JMT

Spika wa Bunge anapendekezwa na CC ya CCM ambayo Rais wa JMT ndiye Mwenyekiti wake na vikao vyake hufanyikia Ikulu

CDF anateuliwa na Rais wa JMT

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi anateuliwa na Rais wa JMT

Msajili wa Vyama vya Siasa anateuliwa na Rais

Kwa kifupi Katiba ndio inampa Udikteta Rais

Usidanganywe na chochote kwa Tanzania Rais ndio Nchi yenyewe!
Kwa maana hii hata mahakama haiwezi kuwa huru
 
Vipi wale walitupa bomu na kuua watu 5 pale kwenye mkutano wa chadema soweto arusha wao watapelekewa moto lini?

Vipi wale waliomtesa Ulimboka?

Vipi waliomsambaratisha mwangosi kwa bomu?

Vipi mungu wako anawapelekea moto ccm lini ili mjikomboe?
Usiseme Mungu wako, sema Mungu wetu. Mungu wa kweli ni wa wanadamu wote, wewe na mimi.

Hekima ya Mungu wala maamuzi yake hayahojiwi. Ndiyo maana anaweza kufa mtoto, jambazi akabaki anaishi, lakini wanaoomba hawataacha kumwomba awakinge dhidi ya jambazi.

Kumbuka Mungu alimwadhibu Daud kwa kumwondoa Duniani mwanae, ambaye kwa hekima ya kibinadamu, tungehoji kwa nini kosa la Daud, kifo kikampate mtoto? Lakini yeye ni mwenye haki, hekima yake inazidi hekima zetu wanadamu wote.

Mauaji ya Soweto ilikuwa ni uharamia, mateso ya Ulimboka ilikuwa ni unyama, mauaji ya Mwangosi ilikuwa ushetani. Watenda maovu hayo wataadhibiwa lini na kwa namna gani, Yeye Mungu ndiye ajuaye. Sisi tunaweza kusema hawajaadhibiwa, kumbe walikwishaadhibiwa zamani, lakini kwa namna tofauti.
 
Alikuwa kinyume na maamuzi ya dikteta Magufuli.

Note:

Kwenye utawala wa kidikteta, dikteta hujiona yeye ndiyo nchi.
Lini alijiona yeye ndio nchi?

Magufuli alisema msaliti wa nchi hapaswi kuishi!

Lisu yeye anasema kwa kauli hiyo ndio sababu akapigwa risasi!

Swali, yeye Lisu alikuwa msaliti?
 
Alikuwa kinyume na maamuzi ya dikteta Magufuli.

Note:

Kwenye utawala wa kidikteta, dikteta hujiona yeye ndiyo nchi.
Chadema yenyewe inaongozwa kidikteta

Nyalandu anadai alishinda nafasi ya kuwa mgombea Urais lakini kura zake akapewa Tundu Lisu

Mbowe peke yake aliamua kumleta Lowassa na Kamati kuu yote ikamgwaya
 
Lini alijiona yeye ndio nchi?

Magufuli alisema msaliti wa nchi hapaswi kuishi!

Lisu yeye anasema kwa kauli hiyo ndio sababu akapigwa risasi!

Swali, yeye Lisu alikuwa msaliti?
Tusiseme mengi sana, wote hatujui huenda huko alipo hii kauli yako ikawa imechochea kuni ama kama atakuwa miongoni mwa Watakatifu basi atakuwa anawaombea wale wanamsemea mabaya.
 
Lini alijiona yeye ndio nchi?

Magufuli alisema msaliti wa nchi hapaswi kuishi!

Lisu yeye anasema kwa kauli hiyo ndio sababu akapigwa risasi!

Swali, yeye Lisu alikuwa msaliti?
Utaelezwa mpaka lini ili akili yako ielewe?
Kwa akili za kishamba za yule jamaa kila aliyekuwa anapinga hoja zake za kijinga alikuwa msaliti wa nchi, kwani aliamini yeye ndio Tanzania!
 
Mbona Jk aliua watu watano kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule soweto arusha na yupo?

Mwangosi je?

Ulimboka?

Au lisu yeye ni nani?

Takataka kabisa
Damu za watanzania zitawatesa sana.
 
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."

Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.

View attachment 2504783
Kwahiyo waliomshambulia ni Wanajeshi ( kama alivyowataja hapa juu katika Maelezo yake ) kwa Kupokea Amri kutoka kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli au?
 
Utaelezwa mpaka lini ili akili yako ielewe?
Kwa akili za kishamba za yule jamaa kila aliyekuwa anapinga hoja zake za kijinga alikuwa msaliti wa nchi, kwani aliamini yeye ndio Tanzania!
Mbona Zitto Kabwe alimpinga Sana na kuhoji zilipo 1.5T lakini hakufanywa lolote?

Tundu Lisu alikuwa anahoji mambo ya kawaida Kabisa yenye Msingi wa kisheria tofauti na Zitto aliyekuwa anachimba mambo mazito

Mnapomzungumzia Tundu Lisu msimsahau Chacha Wangwe RIP
Wote Ilikuwa ni Dodoma huko huko wakati wa bunge
 
Huyo mbowe naye huyo... mhhhh! Wamuangalie sana! 🤔🤔☻
 
Lini alijiona yeye ndio nchi?

Magufuli alisema msaliti wa nchi hapaswi kuishi!

Lisu yeye anasema kwa kauli hiyo ndio sababu akapigwa risasi!

Swali, yeye Lisu alikuwa msaliti?
Kwa kipimo cha dikteta Magufuli, Lisu alikuwa ni msaliti kwa sababu aluenda kinyume chake. Mbona dikteta Magufuli aliliweka wazi kabisa hilo. Alisema kuna mtu amekuwa anampigia Deo kuomba mkataba wa Barrick na Serikali. Huyu ni msaliti, na msaliti ninyi wanajeshi mnafahamu huwa anafanywa nini. Hatakiwi kuishi.

Ni kweli Lisu alimtumia sms message Deo, kuomva huo mkataba. Deo hakujibu. Lisu akaamua kumpigia simu, lakini Deo hakupokea hiyo simu. Na unafahamu kuwa kwenye utawala ule wa kidiktera mawasiliano ya wote waliokuwa wanamkosoa dikteta yalikuwa yanafuatiliwa.

Kauli ile ya Lisu kuwa Serikali kwa kuzuia concentrates zisiende nje, bila ya kuzingatia mkataba, tutashtakiwa jwenye mahakama za kimataifa, au la tujitoe kwanza kwenye huzo mahakama za kimataifa, tayari kwa dikteta Magufuli, kiongozi ambaye hakuwa tayari kabisa kukosolewa na yeyote, ilichukukiwa ni usaliti.
 
Chadema yenyewe inaongozwa kidikteta

Nyalandu anadai alishinda nafasi ya makamu Mwenyekiti lakini kura zake akapewa Tundu Lisu

Mbowe peke yake aliamua kumleta Lowassa na Kamati kuu yote ikamgwaya
Tunazungumzia jaribio la dikteta Magufuli la kutaka kumwua Lisu. Hayo mengine, kama una hoja, anzisha mada yako.
 
Back
Top Bottom