Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Endeleeni kukufuru maana machadema akili zenu huwa zinawaruka mpaka mnapitiliza mipaka ya kibinadamu😄😄
_97406776_a_maasai_woman_holds_a_sign_that_reads_in_swahili_%27we_will_fight_for_our_land_until_the_end%27.jpg

Huyo Mmasai, sio Mwanasiasa. Ni Binadamu kwanza na ni Mwananchi wa Tanganyika. Yupo Nyikani na amedhamiria kupambana hadi mwisho!
 
Maulidi Kitenge wa Wasafi FM alipofanya Ziara Ngorongoro Wamasai walimshangilia sana

Leo Tundu Lisu kafanya Ziara Ngorongoro Wamasai wamemshangilia sana

Au ni Utamaduni wa Wamasai kushangilia wageni?

Mlale Unono!
Acheni kulinganisha takataka (Kitenge) na mashujaa wa nchi (Lisu).
 
Nachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro

Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina

Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
Inasikitisha sana mkuu
 
Maulidi Kitenge wa Wasafi FM alipofanya Ziara Ngorongoro Wamasai walimshangilia sana

Leo Tundu Lisu kafanya Ziara Ngorongoro Wamasai wamemshangilia sana

Au ni Utamaduni wa Wamasai kushangilia wageni?

Mlale Unono!
Sasa mzee wangu, kitenge n nani kwenye hii nchi afu angalia Mh. Lisu ni nani. Lisu alipigwa na risasi kibao lkn hakufa hy n kuonyesha uwezo mkubwa wa mungu, Lisu ni mmoja kati ya watu wa kuheshimiwa na watu wote wenye akili timamu
 
Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Kaka tushashitakiwa na kesi iliisha na tunadaiwa bill 500.na tumeanza juzilipa
 
Nenda huko kwenye mada za utamu... unachukia vyama vyote vya siasa na upo jukwaa la siasa? Huku huwezi wapata unaowatafuta huku ni wagumu.com au nenda tiktok
Nani anawataka hamjui kuwa hamna sauti kama wanaume mmechunwa hamna hela,bado tunawatawala,wengine wanapasishiana kama mpira , wengi hamdumu na ndoa zenu maana hamjitambui,mie huko kwenye jukwaa la mapenzi na code za watu ndio nachart nao, vingine nope , nchi mpo chini ya mwanamke , so kwasasa kuweni wastaarabu msije kufa na presha
 
Umeshampa vingaoi hadi sasa hapo? Hawana hela mbona hutafuti zako?
 
Back
Top Bottom